Search results

  1. S

    SoC02 Iwe usiku, iwe kuchwa usipoteze tumaini lako

    IWE USIKU, IWE KUCHWA USIPOTEZE TUMAINI LAKO. Karibu katika Makala/Andiko hili ambalo kwa ukubwa limejikita kwa Wapambanaji, wanaonza kufikiri kuanza kupambana na wale waliopo kwenye mapambano na hata waliofanikiwa ambao wanahitaji kuwashika mkono wapambanaji wanaoanza. Tunapozungumzia...
  2. S

    SoC02 Chuki isiyo na shabaha

    CHUKI ISIYO SHABAHA. Makala hii inalenga jamii kwa ujumla kutengeneza chuki zisizo na lengo/dira visababisi, madhara, na namna ya kuondokana na Chuki isiyo Shabaha, Fuatana nami SamNah. Chuki kwa maana ya kimandhari ni kitendo cha kutopenda tabia fulani au jambo fulani, kwa ufupi unaweza kusema...
  3. S

    SoC02 Elimu na Mazingira yetu

    ELIMU NA MAZINGIRA YETU. Habari hii itajikita katika Elimu tunayowapatia vijana wetu na namna isivyoakisi kwa asilimia miamoja mazingira yetu. Elimu, ni maarifa yatolewayo darasani au nje ya darasa, kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine au kundi la watu, pia kutoka kundi kwenda kwa mtu...
Back
Top Bottom