Search results

  1. Mrao keryo

    TANZIA eng. Felix Mlima Ngoako, Meneja wa Tanroads Ruvuma afariki dunia akishiriki mbio za hisani

    Meneja wa Tanroad mkoa wa Ruvuma, mhandisi Mlima Ngaile amefariki asubuhi ya leo baada ya kuanguka ghafla wakati akifanya mazoezi ya kukimbia maarufu kama marathon Songea mjini! Baada ya kuanguka alikimbizwa hospitali ya mkoa wa Ruvuma na kufariki muda mchache baada ya kufikishwa hospitalini...
  2. Mrao keryo

    Aisee, mambo ni mengi muda mchache!

    Picha mtazipa maneno wenyewe!
  3. Mrao keryo

    Chemsha bongo!

  4. Mrao keryo

    Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  5. Mrao keryo

    Mashabiki wa Yanga wa Songea wapata ajali wakitokea Dar

    Mashabiki wa timu ya Yanga walikuwa wametoka dar kurejea Songea kupitia njia ya Lindi wamepata ajali asubuhi maeneo ya huria wilaya ya Namtumbo ! Dereva kashindwa kukata kona. Hakuna vifo bali majeruhi kadhaa!chanzo mdau aliekuwepo kwenye gari!
  6. Mrao keryo

    Maisha yana wenyewe!

    Ukisikia watu wana maisha ndo kama hivi!Tupambane jamani
  7. Mrao keryo

    Ruvuma: Ajali ya Fuso yaua Watu 13 na kujeruhi wawili Songea

    Watu 13 wamepoteza maisha na majeruhi kadhaa baada ya Fuso walilokuwa wanasafiria kutoka mnadani kutumbukia mtoni. Watu hao walitoka kijiji cha Nambendo wilaya ya Namtumbo kurudi Songea walikokwenda kuuza vitu mbalimbali jana siku ya Pasaka! Miili ya marehemu ipo hospitali ya mkoa wa Ruvuma...
  8. Mrao keryo

    Ajiua na wanawe wawili baada ya kuzidiwa na madeni ya VICOBA

    Amina Komba mkazi wa mtaa wa Namanditi A Manispaa ya Songea amejiua baada ya kuwanyonga wanawe wawili kwa kile kilichoelezwa kuzidiwa na madeni ya vikoba Familia ya bwana Peter Komba ambae amepoteza mke na watoto, amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia tar 14/12/22 na mwanamke huyo...
Back
Top Bottom