Search results

  1. M

    Rais wa Zanzibar Dr. Shein atuea makadhi watatu wa mahakama ya kadhi

    Haiwezekani na kamwe haita wezekana raisi wa zanzibar kuwa mkristo never on earth!!!!
  2. M

    Ananizidi umri na fedha, nifanyeje anipende?

    toa upz kasome!!! kasome dogo n
  3. M

    haya ni mawazo tu tena yangu tu

    [Hivi kuna sheria ya kugawana vitu endapo muungano utavunjika? Naamini Nyerere asingeruhusu itungwe] hata mume ma mke wakitengana wanagawana walivyo chuma pamoja. iweje sisi tuvunje muungana kisha tubakie na mali tuliochuma pamoja labda kama wa zanzibar watakuwa marehemu
  4. M

    haya ni mawazo tu tena yangu tu

    Siku ya kwanza nilipo sikia serikali tatu ndani ya rasimu hii ya katiba, nilijiuliza juu ya uongozi wa serikali hizi tatu, (yaani maraisi watatu makamu wa raisi mawaziri wa kuu nk). Lakini pia nikajipa matumaini labda uongozi hauta kuwa kama nifikiriavyo mimi labda tutakuwa naraisi wa muungano...
  5. M

    Zanzibar kesho itapata uhuru wake

    Kwanini wanajichosha hawa watu kama wanaitaka nchi yao si waichukue na wapemba waendelee kuwa marafiki zetu hatakama tunatoka nchi mbili tofauti tutawapa uhuru wakuishi tanzania na kufanya biashara na wa tz tuna wapenda sana wazanzibar na hongereni kwa harakati zenu
  6. M

    Pombe,sigara na ukahaba ni marufuku Zanzibar!!!!

    miaka fulani ya nyuma niliwai soma na mtoto mmoja wa mzee Basha, aliwahi kuwa muwakilishi ndani ya baraza la wawakilishi na pia nimeishi kidogo na familia ya mzee basha na kina muhamed na kaka zake wa port pale, kwahiyo naelewa zanzibari vizuri uchafu ambao sijauona zanzibar mtaani ni kula...
  7. M

    Jussa na Seif mnawachelewesha Wazanzibari kuwa "huru kamili"!

    kwanza nikushukuru kwa nguvu zangu zote mkuu natamani sana tena sanaaa kuwaona wazanzibari wakiondoka tanzania halafu sasa swala la muungano uwe wa aina gani. Ndio tuanze kujadili muungano tafadhalini sana wakuuu wa kafu fanyani fanyeni mambo tubaki na tanganyika yetu plsssssss ondokeni ondokeni
  8. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    Hili jengo kidogo lifanane na msikiti na karibu nusu ya waalikwa wanaonekana kuvaa brshea kichwani mtazamo wangu: bado hawa watu wanatumia sana misikiti kutangaza chama wanapandikiza mbegu chafu kwa watanzania. kama si sisimu mbinu chafu za sisim kudhoofisha upinzani, basi ni mbinu chafu za...
  9. M

    Naibu spika: "Change ya rada" si neno sahihi

    Genge la chenge lililo fanya ujambazi wa kikatili na kupora mabilioni ya fedha za wananchi masikini na wengi wao wajinga wa Tanzania. sasa linakula fedha nyingine tena kutoka uingireza kwa dili ileile moja ya RADA (yaani jiwe moja ndege wawili) ama kweli tanzania imejaaa wapuuzi wa hali ya...
  10. M

    Masters degree ya John Mnyika toka nchini Brazil

    mnyika kwa kweli unanikera sana kwa kutokujibu hii
  11. M

    Urais CHADEMA moto 2015: Dk Slaa, Mbowe, Zitto hapatoshi

    nimepata tetesi kuwa dk W.Slaa hatagombea urais 2015 hili linaniumiza sababu naipenda chadema na namkubali sana Slaa wa ukweli tafadhali tafadhali tafadhali naomba mwenye kujua ukweli anitaarifu na allah atamnusuru na mabaya yote kwa mwezi huu wote
  12. M

    Orodha ya madaktari na maeneo wanayosali/abudu

    kama kila upumbavu utapishwa na mods na kujadiliwa humu sasa naanza kupata sababu za kuachana na jf tafadhali chujeni na makapi yasiingie humuuuuuuu alaa
  13. M

    Mgomo wa madaktari rasmi kuanzia kesho!!!

    naomba mtu mwenye madai ya madactari kama yalivyo tolewa na madactari
  14. M

    ANGALIENI CV YA ADAM MALIMA: hana form six wala bachelor, loooo!!!!

    masters nyingi ni miaka miwili hapo naona miaka mitano inawezekana wamechanganyanya na na hiyoo shahada. tusije kumshikia bango huyu fisadi halafu akapata kichwa kwa kupata pa kutokea labda mtoa mada angefanya uchunguzi zaid
  15. M

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    I am very sorry kwa watu wanaoumia kwa kikwete kuitwa legelege mi nafikiri pia nchi hii imemshinda hajui chakufanya na sasa ana iongoza kwa maelekezo toka kwa wapuuzi fulani fulani. kwa sababu kama huwezi kutoa maamuzi kwenye matatizo nyeti na makubwa ndani ya nchi yako, badala yake unaenda...
  16. M

    Haya ni yangu kutoka moyoni mwangu

    haisaidii kunikashifu jaribu kufikiri na kufanya maamuzi ya busara ilituishi kwa amani tanzania
  17. M

    Haya ni yangu kutoka moyoni mwangu

    F.W mawazo yako ni sawa tu na ya wapuuzi wanaoichafua Dini na hayata fanikiwa kamwe uislam na maadili yake havita poromoka kamwe
  18. M

    Haya ni yangu kutoka moyoni mwangu

    Ni rahisi sana kusema mtufulani anatawaliwa na mkewe au mama mkwe au mtufulani ni mmbea lakini ni ngumu sana kusema mimi natawaliwa na mke wangu. ndicho hichi kinacho nifanya nishindwe kuchangia humu ndani kwenye mada zinazo fanana na ile ya kuchoma makanisa na nyingine nyingi za udini...
  19. M

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    kitu cha arusha LEMA
  20. M

    Mashehe wa Bara Ongozeni harakati za kuupinga Muungano; Tanganyika isiidhulumu Zanzibar

    naungana na mmk 100% kama ni kweli tumeunda kikundi cha kueneza dini na kimeona muungano ni tatizo kubwa lakutupeleka jehanum na mashehe hawajatoa tamko kupinga hili. basi waungane na wenzao wa zanzibar kupinga muungano ili tuwarahisishie wenzetu kuiepuka jehanum. huwezi kuwa sahihi kwa kudhani...
Back
Top Bottom