Search results

  1. Jumanne Mkota

    Jinsi Wabunge na Madiwani Viti Maalumu wanavyopatikana

    UTANGULIZI.BJandiko hili nalileta kwenu kwa jinsi ninavyojua na kushiriki katika zoezi la kupata nafasi hizi! Bandiko hili linajaribu kuweka mambo sawa ili wadau humu wajue pumba na mchele ni upi! Hawa wabunge na madiwan wanapatikana na kuteuliwa kwa mujibu wa sheria za nchi na umewekwa...
  2. Jumanne Mkota

    Riwaya - Kilimanjaro

    Utangulizi Ni riwaya inayohusu mkoa wa Kilimanjaro Na Tanga kujiunga pamoja Na kujitenga Na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Riwaya hii Ni ya kubuni Na lengo Ni kuburudisha tu wasomaji wa Jamii forum Inawezekana WAKATI wa kuandika maudhui ya riwaya hii yapo matukio yanayofanana Na...
  3. Jumanne Mkota

    Eti baada ya kupiga kura nirudi nyumban nikaendelee na shughul nyingine!

    Wadau nimetafakar kwa mapana kauli hii ya mapoliccm na nec na kugundua kuwa ndipo tegemeo la mwisho la maccm kucheza michezo yao ya kipuuz! Nimeamua yafuatayo:- 1. Jumapili ni siku ya mapimziko ili kutafakat ulicho gain wiki nzima iliyopita na kuweka mikakati ya wiki inayofuata pia...
  4. Jumanne Mkota

    Mpaka sasa wasaliti ni wangap?

    Wadau naomba kujuzwa tu! Nimesikia huko kusin kupitia humu kuwa kuna wagombea kupitia ukawa wametokomea hawakurudisha fomu! Naomba kujua ni wangap? Mpaka sasa. Ma ni majimbo mangap yameolewa baada wagombea kutokomea na wengine wakajaza chap
  5. Jumanne Mkota

    Kila anachojiapiza Kikwete hakifanikiwi, hata hili hatatoboa

    Salaam wadau wa jf Nimekuwa nikifuatilia mambo yote niliyojaliwa kuyasikia ya amri na maelekezo ya JK lakini nimejikuta nashangaa mbona hayatoboi mpaka mwisho! Kunani hapa? Kwa uchache:- 1. Ana orodha ya wauza ng'ada (dawa za kulevya) waache mara moja la sivyo watajuta - Hola! ng'ada inauzwa...
  6. Jumanne Mkota

    Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Salaam wana jukwaa! Leo ni siku ya mazishi ya mzee Peter Abdallah Kisumo ambae ni mwasisi na ameshika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwaziri, ukuu wa mikoa na uenyekiti wa mashirika mbalimbali ya umma na mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Usangi katika wilaya ya Mwanga katika...
  7. Jumanne Mkota

    Ziara ya Kinana: Ashindwa kufanya mkutano wa hadhara Mwanga Mjini

    Wanabodi kama tunavyojua Ziara ya katibu Mkuu wa CCM Bw. Kinana inavyopata misukosuko huko Arusha, Hapa Mwanga Mkoani Kilimanjaro wamebadilisha Ratiba kwa kuhofia Aibu inaypweza kutokea. CCM Mkoa wa Kilimanjaro bado wanaamini kuwa Mwanga ndio ngome imara iliyobaki lakin kwa sasa ngome hiyo...
  8. Jumanne Mkota

    Calamity: Maghembe ahaha kujiokoa! Jimbo chungu

    Salaam wana Jukwaa Hali ya Kisiasa ya Mbunge wa Mwanga Prof. Jumanne A. Maghembe inazidi kuwa mbaya pamoja na kumleta Magufuli kuja kuzindua Barabara ya Mwanga - Kikweni, wananchi wanasema hachaguliki tena. Wananchi wa Mwanga wameamua kufanya mabadiliko mwaka huu na kwa sasa wanasema jimbo...
  9. Jumanne Mkota

    CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

    Nimeikuta whatsapp kwenye group moja linaitwa ccm vs ukawa! Na wanaccm wapo kimya kama kuna mwenye hizi habari tiririke wandugu! Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi. 1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15. 2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14. 3: Ilemela, mitaa189...
  10. Jumanne Mkota

    Mbunge prof. Maghembe akataliwa hadharani na Wananchi

    Mbunge wa jimbo la mwanga na Waziri wa maji Prof Jumanne Abdala Maghembe amekutana na adha ya kukataliwa mapema na wananchi kabla hata ya uchaguzi katika ziara zake kampeni zisizo na Baraka za Chama chake. Adha hiyo alikutana nayo 16/02/2015 katika kitongoji cha Changalavo Kijiji cha...
  11. Jumanne Mkota

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro: Sasa hii imezidi huu upuuzi wako peleka kwenu huko

    Wanabodi salaam, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Kada wa Chama cha mapinduzi mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa wa kilimanjaro tunapoelekea huu mkoa utakushinda au pengine umeshakushinda. Ni miaka takribani mitano sasa ulitoa amri ya kutokata miti katika eneo lolote la mkoa wa Kilimanjaro...
  12. Jumanne Mkota

    Pata mbege kwa kata ya jina lako

  13. Jumanne Mkota

    Daah: Wabongo kwa vituko

  14. Jumanne Mkota

    CCM, tupeni Prof. Maghembe mnamo Oktoba 2015 halafu mtusikilizie kabla ya misa ya kwanza...

    Salaam wakuu Leo nimekamilisha safari ya kuzunguka takroban km 2600 za mraba za jumbo LA mwanga. Nilichokuta huko no kuwa wanamwanga wanaomba kwa Mungu ccm imsimamishe maghembe. Wanasema ukawa itashinda kabla ya misa ya kwanza haijaisha name wanaenda kulinda kura Zhao kwa heshima zote. Naomi...
  15. Jumanne Mkota

    Kirya Mwanga: Wamasai watoa onyo kali kwa CCM

    Wadau, Baada ya kipigo cha mbwa walichokipata CCM kata ya Kirya kutoka kwa CHADEMA baada ya kunyang'anywa vijiji viwili kati ya vitatu vya kata hiyo. Wamasai wanaoishi eneo hilo la kijiji cha Kirya wameuambia uongozi wa CCM kata ya Kirya kuwa naomba kunukuu " hii chama tumekuwa nayo miaka...
  16. Jumanne Mkota

    Maajabu;kijiji na vitongoji vyake charukwa kufanya uchaguzi

    Wadau hii ni ajabu na mpaka najiuliza ilikuwaje. Kijiji cha kifaru na vitongoji vyake hakikufanya uchaguzi ! Si ccm waliofanya kura za maoni au kujaza fomu kwa uchaguzi kamili na wala si ukawa waliojitokeza kufanya uchaguzi au kura za maoni na hatimae kujaza fomu kwa uchaguzi kamili hivyo...
  17. Jumanne Mkota

    Dear UKAWA

    Wapendwa ndugu zangu wa UKAWA, Sasa hivi tumefanikiwa kumpa mwenyekiti wa magamba kazi nzito ya kuamua kuhusu vibaka wavaa suti wa ESCROW,kazi ambayo itawachukua muda kuamua ingawa tumeibiwa. Kazi ya kufanya sasa ni kuhakikisha walipa kodi wanaminimize kiwango cha wizi kinachofanywa na hao...
  18. Jumanne Mkota

    Uchaguzi Serikali za Mitaa,CCM Mwanga yashikwa vyema

    Salaam wadau hapa mwanga uchaguzi wa sm umekolea. Magamba inapumulia mashine vitongoji vyote vya mjini. Kitpngoji cha kichangare zaidi ya watu mia tano wamejiandikisha wengi wao wakiwa vijan hali ambyo imemtisha mgombea ccm ambapo yy na chama chake wanapanga kuvuruga uchaguzi kitu ambacho...
  19. Jumanne Mkota

    Hivi hizi fedha zimewekwa wapi baada ya kugawanywa?

    Wadau just kuuliza tu hivi fedha za escrow tunaambiwa zimeshatoka BOT na kukabidhiwa kwa wenyewe! Sawa imeonekana benki ya Mkombozi imekuwa ikizigawa kwa walengwa kama inavyoonyeshwa humu jf! Sasa hao waliogaiwa wameziweka wapi? Ni NBC,NMB,Mwanga benk,DCB,CRDB,Posta nk au walipewa keshi? Au...
  20. Jumanne Mkota

    Mapendekezo: jinsi ya kumpata mgombea urais kupitia UKAWA

    Salaam wana jukwaa, tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwakani 2015. Ni matumain yangu upinzani mwaka huo utafanya vizuri pengine kuliko kipindi chochote cha uchaguzi tangu tuingie mfumo wa vyama vingi kwan watanzania wa leo ni tofauti na miaka iliyopita na wamejanjaruka na hawaburuzwi tena...
Back
Top Bottom