Search results

  1. jsenyinah

    Trump kuingia Ofisini January 20,2017.Amwaga ajira 8,000

    Rais mteule Donald Trump ambaye anaingia ofisini January 20,2017, amemwaga ajira 8,000 kwa wamarekani hasa walio nje ya Taifa hilo ili warejee kwenye Taifa hilo ambalo yeye anasema "limeshakuwa na mabadiliko makubwa". Takribani ajira 5,000 ni za wataalam wa mawasiliano. Source: Foxy News
  2. jsenyinah

    MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Habarini nyote humu JF,amani iwe nanyi! Haiwezekani, haiwezekani, haiwezekani! Apotee mfanyakazi mwenzio bosi ukae kimya? Apotee msaidizi wako bosi ukae kimya? Mchezo uliochezwa na CHADEMA kumficha msaidizi wa Mbowe, ndg Ben Saanane ni wa kitoto,tena uliopitiliza, umepitiliza kweli kweli...
  3. jsenyinah

    Licha ya kuwa na matumizi makubwa ya pesa, bado wapo juu tu

    Wachaga wana matumizi makubwa sana,lakini wameendelea sana! Ukilinganisha na makabila mengine, wachaga wanakula sana bata! Wana matumizi makubwa sana karibu kila siku. Cha ajabu, walianza kuendelea wao, walianza kusoma sana wao, walianza kuwa na miundombinu mizuri wao, wanywaji wao...
  4. jsenyinah

    Uchagani na misiba isiyoisha

    Hodi humu ndani! Kifo ni LAZIMA, kifo ni safari ya kwenda mbinguni, kifo ni mapenzi ya Mungu. Naongea haya kwa uchungu sana. Nimezunguka na kuishi maeneo mengi nchin Tanzania, swala la vifo (vya kasi) kwa wenzetu Wachaga,ni kubwa sana. Siongei kwa ushabiki au napenda iwe hivyo,la hashaa! Kwa...
  5. jsenyinah

    MUNGU: Hili ndo lengo la kulala kwa mwanadamu

    Jee...!!! unajua lengo hasa la Kulala..? Hasa wakati wa Usiku..!!! Lengo la kulala ni kukumbushwa Kifo unapoweka Ubavu wako Kitandani ukumbuke siku utayolala katika Kaburi lako, Unapofunga Mlango ukumbuke Ubao utaowekwa juu yako, Unapozima taa ukumbuke Giza la Kaburini, na unapojifunika Shuka...
  6. jsenyinah

    Kilimo kimeshuka eti uchumi umekua, how comes?

    Sijajua aina ya equation inayotumika kuevaluate UCHUMI KUKUA
  7. jsenyinah

    Ni mwaka sasa, napata usingizi saa 8 usiku na naamka saa 11 alfajiri.Ndoto ninazoota ni ngumu

    JPM namkubali sana,anatupa chachu ya kufanya kazi.N chaguo letu.
  8. jsenyinah

    Ni mwaka sasa, napata usingizi saa 8 usiku na naamka saa 11 alfajiri.Ndoto ninazoota ni ngumu

    NI MWAKA SASA, USINGIZI HUJA KUANZIA SAA 8 USIKU NA UNAKATA SAA 11 ALFAJIRI. Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Ni miezi isiyopungua kumi na tatu (13) sasa,hata niwe nimechoka vipi, hata niwahi kulala vipi , usingizi wangu huanza kuja kuanzia saa nane (8) usiku na hukatika saa 11...
  9. jsenyinah

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) yatahadharisha ujio wa ukame, njaa

    Taarifa ya habari kila siku saa 2 usiku,lazima wananchi walalamike!
  10. jsenyinah

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) yatahadharisha ujio wa ukame, njaa

    Siyo ukimya ndo hatari zaidi mkuu?? Nawaza tu.
  11. jsenyinah

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) yatahadharisha ujio wa ukame, njaa

    Ndugu zangu, kilimo ndiyo uti wa mgongo wa waTanzania na inakadiriwa, 80 % ya waTanzania wote wanategemea kilimo,na kwa kiasi kikubwa ni wale wa vijijini! Kwa miaka nenda rudi, kilimo chetu hapa nchini kimekuwa kikitegemea mvua, licha ya kuathiriwa na tabia ya nchi inayotokana na tabia za...
  12. jsenyinah

    Mtaalam wa kutengeneza website na logo anahitajika

    Jamani nina shida na huyo mtaalam,naomba mawasiliano
Back
Top Bottom