Search results

  1. O

    Kamanda machemuli kuzindua kampeini udiwani kata ya tungi-morogoro mjini mchana huu .

    Ndiyo Wana Jf ! Mchana huu mbunge wa jimbo la Ukerewe- cdm, kamanda Machemuli leo atakuwa anazindua kampeini za uchaguzi wa udiwani kata Tungi -Morogoro mjini. Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Mbuyuni. Mgombea wa udiwani ni Juma Tembo kipenzi cha Wana Tungi ...
  2. O

    Ombi la Zitto kutembelea SAUT-Mwanza lakataliwa na uongozi wa tawi

    Habari Wanabodi ! Katika mwendelezo ule ule wa kuomba huruma kwa wanachama,wapenzi na washabiki wa chadema, ZZK kupitia Misukule wake ambao kimsingi ni wapiga dili na wachumia tumbo amekataliwa ombi lake la kukutana na wanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT-MWANZA. Ikumbukwe kuwa baada ya uamzi wa...
  3. O

    Pole sana Habibu Mchange kwa yaliyo kukuta Mwanza hotel

    Ndiyo Wakuu ! Nianze kwa nukuu " ELIMU YA CHUO KIKUU NI CHEMICHEMI YA MAWAZO CHANYA AMBAYO MSINGI WAKE SI UTUMWA. UTUMWA WA MAWAZO NI KUPACHIKWA MAWAZO YA WATU WENGINE ,NAWE BILA KUYAPIMA UNAYAPIGANIA BILA KUJALI KUWA UNAWEZA KUATHIRI HADHI YAKO NA HATA HADHI AU TASWIRA YA CHUO ULICHOSOMA...
  4. O

    Tumaini Makene: CHADEMA Makao Makuu hakiusiki na yanayoendelea mitandaoni!

    Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Awali ya yote naomba ni anze na nukuu ya Mwl Nyerere Meimosi,1995 akiwa mjini Mbeya "MTU YEYOTE MWENYE AKILI,AKIKUPA MAWAZO YA KIPUMBAVU NA ANAJUA KUWA UNA AKILI NA UKAYAKUBALI ANAKUDHARAU. SASA HATUWEZI TUKAKUBALI MAMBO YA KIPUMBAVU TANZANIA." Akiongea kupitia...
  5. O

    Kamanda Mawazo kuwasha moto Muleba kusini kuanzia leo 18/08/2013

    Ndiyo Wakuu ! Kamanda Mawazo yupo mleba muda huu kuendeleza uhai wa chama ambapo atafanya mikutano kwa siku 5 kwa kutumia gari yake ' war bus ' .
  6. O

    Kamanda Mawazo ampigania Mzee Juma dhidi ya udhalimu wa kampuni Barrick - Sengerema

    Ndiyo wakuu, heshima kwenu ! Awali ya yote, nitaanza na nukuu toka kwa Mwl Nyerere Octoba 22,1987 wakati alipokuwa akihutubia mkutano mkuu wa CCM alisema " LAKINI CHAMA CHETU (CCM) HAKITAWEZA KUISAIDIA SERIKALI YETU KUTIMIZA WAJIBU WAKE NA KULINDA AMANI , UTULIVU NA...
  7. O

    Katibu wa Chadema wilayani Geita anashikiliwa polisi kwa mahojiano -geita .

    Ndiyo wakuu ! Kwa taarifa zilizo nifikia muda huu toka kwa Katibu wa cdm wilayani geita, ambaye ni mbunge kivuli jimbo la geita , kamanda Rogers Mwana wa Ruhega ni kuwa yuko polisi geita muda huu akihojiwa ofsi ya upelelezi akihusishwa na kosa la uchochezi baad ya kutoa tamko kali la...
  8. O

    Mawazo na makamanda wengine wamewakurupusha ccm wakigawa chumvi usiku -sengrema.

    Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Awali ya yote naomba nianze na nukuu ifuatayo :- " TAIFA LETU,TAIFA LOLOTE NI ZURI NA MAHALI PAZURI PA KUISHI KAMA RAIA WAKE WATALIFANYA LIWE HIVYO .UONGOZI WAKE UNAWEZA KUWA MZURI,MBAYA AU USIOJALI LAKINI KAMA WATU WAKE WAMEAMKA KIELIMU NA WANAJITAMBUA...
  9. O

    Kamanda Mawazo kuongoza uzinduzi kampeni udiwani Nyampulukano - Sengerema

    Ndiyo Wanabodi . Kamanda Mawazo leo anatarajia kuongoza kikosi kazi cha M4C Kanda ya Ziwa Magharibi katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya Nyampulukano wilayani Sengerema . Ikumbukwe kuwa diwani wa kata hii ndgu Tabasamu alijivua gamba na kujiunga na jeshi la ukombozi cdm...
  10. O

    Tundu Lisu katika uzinduzi kampeni za Udiwani Iseke, Singida 17.5.2013

    Ndiyo Wanabodi ! Kamanda Lisu ameongozana na Makamanda Hamedi na wenzake leo katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa diwani kata ya Iseke ,jimboni Singida Magharibi . Katika kuelekea kutimia kwa kauli ya Mjinga akijitambua,mwelevu yuko matatani mwenyekiti wa kijiji cha Msambu...
  11. O

    Kamanda Mawazo kufanya mkutano leo nyumbani kwao Chikobe- Geita kutengeneza misingi

    Ndiyo wakuu . Heshima kwenu ! Kwa taarifa nilizo zipata hivi punde toka kwa Kamanda Mawazo ni kuwa muda huu anafanya mukutano pamaoja na Makamanda wengine toka Mwanza ,Shinyanga , Musoma na Geita kijijini Chikobe katika kata ya Nyachiluluma ,jimbo la Busanda- Geita ambako ndo...
  12. O

    Kesi ya madiwani waliofukuzwa CHADEMA Mwanza kusomwa kesho ijumaa- 10/5/2013

    Ndiyo wanabodi. Heshima kwenu ! Kesho ndo tarehe ya kusomwa kwa kesi ya Madiwani waliofukuzwa CHADEMA Mwanza. Madiwani hao ambao wapo kwenye nafasi kwa amri ya mahakama ni Ndgu Adam Chagulani kata ya Igoma na Henry Matata kata ya Kitangiri. Ikukumbukwe pia kuwa hukumu ya kwanza...
  13. O

    Kamanda Mawazo atakuwa EATV hot mix live kuanzia saa 12 jioni hii

    Ndiyo Wanabodi. Muda si mrefu kuanzia saa 12 jioni Kamanda Mawazo atakuwa live kwenye kipindi cha HOT MIX -EATV . Naomba kuwasilisha .
  14. O

    Cdm wilaya geita kuwasha moto leo 5/5/2013 kijijini nkome .

    Ndiyo wanabodi . Katika kuendeleza vuguvugu la mabadiliko ( M4C ), jioni hii Makamanda toka wilayani geita chini ya Kamanda Rogerz Mwana wa Luhega, mbunge kivuli jimbo la geita watapiga bonge ya amsha amsha hapa Nkome centre. Wakati hawa Makamanda wanafika hapa Nkome wameweza...
  15. O

    Kamanda Mawazo- Kadi za mwaliko harambee M4C kanda ya Ziwa Magharibi za pungua

    Ndiyo Wakuu , Heshima kwenu ! Kwa mujibu wa taarifa toka kwa Mawazo ni kuwa kutokana na kuwepo kwa hamasa kubwa toka kwa wakazi wengi wa kanda hii kumekuwepo na upungufu mkubwa wa kadi za mwaliko kwa ajili ya hafla ya fund rising ili kuwawezesha makamanda kufika vijijini...
  16. O

    Kamanda Mawazo aendeleza ujenzi wa chama jimboni Busanda - Geita

    Ndiyo Wakuu , heshima kwenu. Nina siku nyingi sana bila kupost habari mpya humu jamvini kwasababu ya majukumu ya kulijenga taifa langu la wadanganyika. Baada ya utangulizi huo ni kuwa Kamanda Mawazo anategemea kuzindua misingi zaidi ya 200 jimboni Busanda. Katika kufanikisha zoezi hilo...
  17. O

    M4c kanda ya ziwa chini ya kamanda mawazo yaendelea kuibomoa ccm -bukoba mjini .

    Ndiyo Wakuu . Heshima kwenu ! Ile kauli ya "mjinga akijitambu,mwelevu yupo matatani " imeendele kui umiza ccm. Kufuatia mikutano ya M4C inayo endelea mkoani Kagera chini ya Kamanda Mawazo na timu yake katika Wilaya ya Muleba na Bukoba mjini ki ukweli ccm ipo katika wakati mgumu. Kwa taarifa ni...
  18. O

    Magu: Viongozi wa CHADEMA washikiliwa na Polisi

    Ndiyo Wakuu, Heshima kwenu! Kamanda Mawazo na Pamba wanashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Magu baada ya kutofautiana kauli na OCD-MAGU. Ikumbukwe kuwa jana ndo ilikuwa mwisho wa kampeini za uchaguzi wa serikali za vijiji 6 na vitongoji 20 wilayani Magu na leo ndo siku ya uchaguzi...
  19. O

    M4C kanda ya ziwa yavuna kigogo CCM - Kagera

    Ndiyo Wakuu ! Vuguvugu la mabadiliko (M4C) linalo endelea kanda ya ziwa chini ya kamanda Mawazo lime endelea kuitesa CCM. Ikumbukwe kuwa wiki mbili zilizo pita CHADEMA ilipata ushindi mnono wa serikali za vijiji na vitongoji dhidi ya CCM wilayani Muleba. Siku 4 zilizopita timu hii ya M4C...
  20. O

    Mawazo kuongoza uzinduzi kampeini uchaguzi serikali za vijiji - Magu leo 10/2/2013

    Ndiyo Wadau, Heshima kwenu ! Katika kutimiza na kutekeleza kauli mbiu ya mwaka huu maarafu kwa MWAKA WA NGUVU YA UMMA , leo M4C -Mwanza chini ya Kamanda Mawazo itazindua kampeini za uchaguzi wa serikali za vijiji 6 na vitongoji 20 Wilayani Magu unao tarajiwa kufanyika tarehe 17/2/2013...
Back
Top Bottom