Search results

  1. S

    CCM kufunya mkutano mkubwa wa kufunga mwaka; 29, Disemba 2012

    Ukiona msomi wa Chuo kikuu anashabiki chama cha mabwepande, basi huyo anatafuta degree tumbo.
  2. S

    Katibu mkuu ccm mh.kinana

    ssm wote ni wezi, karibu asilimia 90 ya nec ya ssm. Wanatumia pesa za wizi wa nyara za serikari kuwahonga watanzania maskini na wapenda mteremko wasio na elimu ya uraia.
  3. S

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    kisasi sio chetu bali ni cha mungu, kazi yetu wakristo ni kuwasamehe. Hata yesu baada ya mateso makali pale msalabani, mwishowe kabla ya kukata roho alisema, "baba uwasemehe kwa maana hawajui walitendalo".
  4. S

    Kifo cha CCM kimetimia

    Sasa hivi mtandao wa urais ndani ya CCM ni zaidi ya Alqaida, kwani karibu mafisadi wengi ni wenyeviti wa CCM wilaya/mikoa mf. Mudavida a.k.a ARV project
Back
Top Bottom