Kupotosha ni kitendo cha mtu kutoa taarifa au kuzungumza kitu katika hali isiyo sahihi na kupelekea wanaomsikiliza kukosa uhalisia wa jambo. Leo hii nchini Tanzania kumezuka tabia hii ya upotoshaji katika mambo mbalimbali ikiwemo mambo ya utawala wa serikali.
Kutokana na kuwepo kwa upinzani...
Habari ndugu msomaji, Leo nimekuletea makala hii lengo ni kutoa ufafanuzi juu na taharuki kubwa kwa wanaume juu ya hofu ya kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo yasiyokizi haja ya kimapenzi ya mwanamke.
Hili ni jambo ambalo linawaumiza wanaume wengi kila kukicha, wanaume...
Kuna kauli imezoeleka sana ya "jicho la tatu". Kuangalia au kufikiria jambo kwa jicho la tatu ndio jambo nalotaka kulifikisha mahala husika. Kauli hii inamaana ya kufikiria jambo kwa undani na umakini mkubwa na kuangalia athari zake na hasara zake.
Mada yangu inalenga sekta ya elimu hususani...
Ndugu wasomaji, ni wazi kwamba mapenzi mahala pake ni moyoni, na upendo wa kweli haufichiki, mtu akipenda ni ngumu sana kujizuia kutoa upendeleo kwa ampendae. Ukiambiwa tu "nakupenda" mwili wote unasisimka. Mapenzi hujengwa kwa misingi imara sana ambayo ni ngumu sana kuilegeza, leo hi mapenzi...
Ndugu msomaji
Napenda kukuletea makala hii unayohusu matumizi ya mitandao ya kijamii na matokeo kwa watoto wetu. Kwa miaka ya hivi karibuni nchini kwetu Tanzania matumizi ya mitandao ya kijamii yameongezeka kwa kasi sana ukilinganisha na miaka ya kabla ya mwaka 2000.
Watu wengi sasa wanatumia...
Mwandishi: Hassan yahaya ( B.Sc )
Contact: hassanmatola508@gmail.com
habari ndugu zangu, awali ya yote napenda nitoe maana ya mapenzi. Mapenzi ni ukaribu unajijenga baina wa watu, wanyama, mtu na kundi la watu, kiumbe kimoja na kingine au kiumbe na kitu au hali fulani ambayo hufanya vitu hivyo...
Kaliwene mwanangu jalala ni sehemu ambapo watu hutupa takataka kutoka sehemu mbalimbali baada ya kutumia kilicho kisafi.
Kaliwene mwanangu wewe ni wakwetu sio wakwao hivyo nakuhusia mwanangu fata haya yakwetu yakwao waachie wao. Mwanangu nakupenda sana nataka nikutume kule ila kabla sijakutuma...
Hii ni kwaajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wametoka katika familia duni. Umezuka mtindo kwamba wanafunzi wengi waliotoka familia zenye hali duni na kwenda vyuo vikuu kubadilika na kujisahaulisha hali halisi ya nyumbani kwao.
Umetoka nyumbani hali ni dhaifu mnaishi nyumba ya nyasi, mama...
Kadri siku zinvyokwenda matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yanaongezeka.
Sasa imefikia hatua vijana hawana haibu kutuma picha zao za utupu na wengine kuangalia. Maadili ya jamii zetu yanaharibiwa, watoto wetu wanaharibiwa imefikia hatua sasa vijana wadogo wanawatongoza mama zao na hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.