laa..! si hivyo ila wasiishi kistaa mfano kwenda club au viwanja vya starehe
kutumia matumiz makubwa mfano unamkuta mtu anatumia cm ya laki saba au milion moja hali ya kuwa kwao hali ni dhoofu sana japo kuwa vitu vya bai ya kawaida na vinafaa vipo bali ananunua kwasababu ya show off
Kupotosha ni kitendo cha mtu kutoa taarifa au kuzungumza kitu katika hali isiyo sahihi na kupelekea wanaomsikiliza kukosa uhalisia wa jambo. Leo hii nchini Tanzania kumezuka tabia hii ya upotoshaji katika mambo mbalimbali ikiwemo mambo ya utawala wa serikali.
Kutokana na kuwepo kwa upinzani...
wanaume wenzangu njoeni tujadili hili suala hata wanawake pia mnaruhusiwa maana haya mambo yanaoneka wanawake ndio wanaonekana hawaridhishwi
kwahiyo njoen tujadili tuwekane sawa kila mmoja afahamu
ni changamoto kubwa sana na elimu inatakiwa itolewe kama itawezekana kuwe na vipindi maalumu kupitia channel za televisheni ili jamii ipate kujua ukweli wa haya mambo
ukubwa ule wa asili hauna tatizo ila tatizo lipo kwa wanaoongeza ukubwa kwa kutumia madawa na mbinu zingine kwani husababisha madhara, lakini pia kwa asili maumbile hayawezi kuathiri na hayawezi kuzidi ule kubwa wa juu
Habari ndugu msomaji, Leo nimekuletea makala hii lengo ni kutoa ufafanuzi juu na taharuki kubwa kwa wanaume juu ya hofu ya kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo yasiyokizi haja ya kimapenzi ya mwanamke.
Hili ni jambo ambalo linawaumiza wanaume wengi kila kukicha, wanaume...
Kuna kauli imezoeleka sana ya "jicho la tatu". Kuangalia au kufikiria jambo kwa jicho la tatu ndio jambo nalotaka kulifikisha mahala husika. Kauli hii inamaana ya kufikiria jambo kwa undani na umakini mkubwa na kuangalia athari zake na hasara zake.
Mada yangu inalenga sekta ya elimu hususani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.