Search results

  1. Mromboo

    Kwa mara ya kwanza ibada yafanywa kwa utulivu kwenye msikiti wa Al-Aqsa, baada ya Israel kuwa makini

    Kwamba? Unajua suala la dini ni vile ulivyoaminishwa wewe. Wala hilo kwake halimsumbui regardless ashamezeshwa kama vile wewe na mimi tulivyomezeshwa na kukaririshwa. It's all about religions.
  2. Mromboo

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Sasa kama unauzaga kuna haja gani ya kuja kuomba ushauri huku. Mpe kipwinto halafu mwelezee shida zako kama hutaki kiomba direct.
  3. Mromboo

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Kwani una mpango wa kumuuzia? Yaani wanwake wakisasa hovyooooooo!!!!!
  4. Mromboo

    "Who wants to hang with the ancestor?" Wanawake mtaua watu kwa majibu yenu ya shombo

    Mwambie atafute hela, Hao ni ma-vendors tu ndugu yangu. Ila kama ni wewe vileeeee maana una roho mbaya kiasi
  5. Mromboo

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Vipi juzi si ulileta uzi hapa kuwa unahamia ccm? Bado tu au unasubiri matarumbeta?
  6. Mromboo

    Maji ya Kibada Kigamboni na hekaya za CCM

    Kwahiyo ofisi ya Chadema ndo italeta maji na umeme we chawa promax? CCM wana ofisi mpaka nyumbani kwa mabalozi. Niambie zinaleta maji na umeme. Ndugu yangu kama huna kitu cha kuandika is better ukae kimya kuficha ujinga wako. Watu wanaongelea mambo muhimu ya umeme na maji wewe unaongelea ofisi...
  7. Mromboo

    Huyu Mwanamke ananikatisha tamaa ya kumtunza mtoto

    Hongera ila mwanangu achana na wanawake waliozalishwa na wanaume wengine. Weka akilini kuwa, ukiona mwanamke mwenye mtoto jua kuna mwanaume alimlalia kisawasawa akamzalisha. Huyo/hao ndo waume zake.
  8. Mromboo

    Huyu Mwanamke ananikatisha tamaa ya kumtunza mtoto

    Atakavyoona maana mbwa akizoea kula makombo ndo hivyo
  9. Mromboo

    Huyu Mwanamke ananikatisha tamaa ya kumtunza mtoto

    Jama amkatae mapema maana atamuua huyo
  10. Mromboo

    Huyu Mwanamke ananikatisha tamaa ya kumtunza mtoto

    Basi temana naye. Mwache kama mwezi kusikilizia. Kuna mawili hapo; atabadilika au atamleta mtoto. Asipofanya hivyo we jilipue serikalini wakupe kiwango cha matumizi kwa mwezi na uwaambie mtoto akifikisha miaka Mitatu unamchukua kwa hati ya serikali. Atakuua huyo.
  11. Mromboo

    Huyu Mwanamke ananikatisha tamaa ya kumtunza mtoto

    Mkuu na wewe ni nouma. Yaani unataka kuoa single mother mwenye watoto wawili + wakwako? Halafu kitu kingine jifunze ukauzu, ni bora amlete huyo mtoto ukae naye maana huyo ni kibaka mzoefu. Otherwise utakufa mbwa wewe. Halafu oa uache umalaya.
  12. Mromboo

    Wali nitapata balo nzuri za canada

    Nimesoma heading sijaelwa. Sijui ameandika lugha gani.
  13. Mromboo

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Kwahiyo hiyo picha itaongeza thamani ya shilingi kwa dola? Itapunguza bei ya sukari? Itaondoa mgao wa umeme? Yaani hili bunge kama hawa ndo wabunge basi lifutwe tu serikali iamue kila kitu. Ila hii tabia ya kujipendekeza itaua hii nchi
  14. Mromboo

    Video: Waumini waogeshwa juisi zenye upako

    Ulokole ukikukolea vizuri huwa ni uendawazimu ulikithiri. Maana mwendawazimu wa kawaida hiyo juice atainywa na hawezi kuifanyia huo upuuzi
  15. Mromboo

    Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

    Mtavurugwa kinoma. Ila wala hajakuacha bali anakutishia. Ila kama ana-gut ya kukutukana hivyo we mshukuru Mungu tu maana hicho kikombe hukiwezi. Ila broo na wewe acha zongwa, wengine wamehonga gari, we mafuta tu yanakushinda?
  16. Mromboo

    Simba ipo kibiashara na upigaji, ndo maana viongozi hawataki kujiuzulu

    Nilichogundua, viongozi wa Simba wanapenda kutukanwa na kuzomewa sana
  17. Mromboo

    Kwanini wafanyabiashara Kariakoo ni wagumu kutoa risiti?

    Acha kuchongea wenzako. Au umetumwa na TRA nini? Kwanza kodi kwa Serikali gani hii? Ili wanunue nyumba za bilioni 16 Dubai? Bora waendelee kukopa tu hao.
  18. Mromboo

    Israel kujitetea kesho Mahakama ya Kimataifa ICJ, tukeshe tukiwaombea!

    Hii sio mahakama ya ICC ni mahakama ya ICJ. Vitu viwili tofauti. Israel haihusiani na mahakama ya ICC.
  19. Mromboo

    Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Sasa kama unabisha kuhusu huo mpango, ilikuwaje mkimbizi uliyemkaribisha under your control aka-overturn na kuwa boss wa nchi yako? Una uhakika kwanye hili umeshirikisha akili?
Back
Top Bottom