Search results

  1. bornagain

    Baadhi ya yadi za magari Tanzania si Salama kununulia magari yetu

    Nimesikitika sana baada ya kufuatilia yadi flani iliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi kwa muda wa mwaka sasa na hiki nachokiandika kina ukweli asilimia 1000000000%. Hii yadi inauza magari ambayo inayaita kuwa ni mpya ila ukweli ni kwamba magari haya si mapya hata kidogo. Hawa jamaa...
  2. bornagain

    Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

    Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia. Back to the topic, ndugu zanguni...
  3. bornagain

    Nahitaji ushauri juu ya ndoa hii niliyokuwa msimamizi

    Mimi najua kuwa kusimamia harusi ni shughuli siyo ile ya ukumbini bali shughuli yake ni siku mambo ya hao wapendanao yanapoenda kombo maana najua wasimamizi ndiyo wanakuwa watu wa mwanzo kuelezewa kinachojiri. Sasa kuna ndoa nimesimamia miaka miwili iliyopita yaani bwana bibi harusi na bwana...
  4. bornagain

    Just relax ndugu, interview siyo vita

    Kuna watu humu ndani huwa wanatoa ushauri mbali mbali kuhusiana na namna ya kufanya interview lakini wanasahau kuwashauri watafutaji wa kazi kuwa interview siyo vita kama vya Kagera enzi za Idd Amin. Mtu unaenda kwenye interview huko unakutana na watahiniwa wenzako basi wewe unanuna kama...
  5. bornagain

    Mkurugenzi TBC aongezewa mkataba

    SERIKALI imemuongezea muda wa mkataba wa miaka miwili Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Clement Mshana, aliyetimiza miaka 60 ya kustaafu kwa mujibu wa sheria, Machi mwaka huu. Habari zilizotufikia Tanzania Daima hivi karibuni, zimepasha kuwa uamuzi huo umefikiwa...
  6. bornagain

    Nionavo mimi:Mh Peter Joseph Serukamba alistahili kuingia kwenye baraza jipya la mawaziri

    Kusema ule ukweli wangu sijawahi kumpenda mheshimiwa Peter Joseph Serukamba mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya CCM kutokana na kuwa alishinda uchaguzi wake wa mwaka 2010 kwa mizengwe mizengwe sana. Lakini linapokuja suala la utendaji ndani ya bunge tukiachana na kwamba ana element ya ushabiki...
  7. bornagain

    Masanja Mkandamizaji eti nae ni mchungaji????

    Heri ya mwaka mpya wa 2014, moja kwa moja bila kupoteza muda leo nataka niseme kuhusu hawa wachungaji wanaoibuka kama uyoga wa masika. Jamani hivi kweli ndugu zanguni walokole imefika mahali mnashabikia ujinga ujinga simply because mnatafuta hela kwa waumini? Mimi nakumbuka enzi zetu wakati...
  8. bornagain

    Lunch zetu tukiwa maofisini nyingi ni viinimacho

    Jamani muda wa lunch unakaribia sana kwa watu wa maofisini maana tunapewa saa moja kuanzia saa saba mpaka saa nane kwa ofisi zilizo nyingi, sasa kuna kitu huwa kinanitatiza mimi kama mfanyakazi ambae nakula lunch wakati nikiwa ofisini, hivi jamani turudi nyuma na twende mbele kweli tunavokula...
  9. bornagain

    Wachaga na Wahaya ni kweli hawajui matumizi ya simu????

    Hivi hawa watani zangu watu wa Kilimanjaro na baadhi ya watu wa Kagera hawajui matumizi ya simu, mimi siamini hata kidogo kama hawajui matumizi ya simu kwa sababu ni watu wanaojua maendeleo na wengi wao wameelimika sana kuliko sisi wa pande za kati. Kitu kinachonitatiza kwa hawa jamaa ni kimoja...
  10. bornagain

    Wachaga na Wahaya hamjui matumizi ya simu???

    Hivi hawa watani zangu watu wa Kilimanjaro na baadhi ya watu wa Kagera hawajui matumizi ya simu, mimi siamini hata kidogo kama hawajui matumizi ya simu kwa sababu ni watu wanaojua maendeleo na wengi wao wameelimika sana kuliko sisi wa pande za kati. Kitu kinachonitatiza kwa hawa jamaa ni...
  11. bornagain

    Wahamiaji haramu wa Kinyarwanda waanza kutii amri mkoa wa Kagera

    http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/21071-7-000-aliens-leave-for-home RESPONSE to President Jakaya Kikwete’s directive for aliens in Kagera Region to leave the country or be forcefully removed has been positive with almost 7,000 illegal residents leaving the country in the past...
  12. bornagain

    Erolink recruiting agency sasa yamulikwa na serikali

    Hawa jamaa wa Erolink recruiting agency mwisho wao umekaribia unless kama kuna mkubwa yupo nyuma yao, lakini kama wamesimama wao kama wao lazima anguko lao laja.Bwana usichezee vilio vya watoto wa maskini ambao wanavuja jasho then anaekula ni Erolink recruiting agency kwa mikataba fekifeki huku...
  13. bornagain

    Sitochangia tena damu kwenye Mpango wa Taifa wa Damu Salama

    Leo tarehe 28/06/2013 ndiyo nimeamua kutokuchangia tena damu kwa hao watu wanaojiita sijui Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS).Nimechukua pia jukumu la kuwashawishi hata ndugu zangu wasichangie tena damu na kama ni kosa basi nisamehewe tu. Kisa chenyewe ni kwamba nina mgonjwa kalazwa Amana...
  14. bornagain

    Paul Kagame: Rwanda's redeemer or ruthless and wealth dictator?

    President Kagame afforded to criticise the corrupt leaders yet he leads in plundering public wealth.President Kagame afforded to criticise the corrupt leaders yet he leads in plundering public wealth. | UMUVUGIZI During a recent meeting in...
  15. bornagain

    Tume ya Sayansi na Technologia (COSTECH) – Kijitonyama

    Wanajamii samahani kama swali hili litakuwa lilishaulizwa hapo mwanzo maana wengine ndiyo kwanza tuna mwaka tumejiunga na JF. Swali langu laleo nataka kufahamishwa kazi za hii tume ya Sayansi na Technologia maana sijawahi hata kusikia kuwa wamevumbua kiberiti ama kitu chochote cha maana zaidi ya...
  16. bornagain

    Tembo wetu wanazidi kuteketea

    Kusema ukweli huenda hii biashara inalipa sana, maana ingawa bunge linapiga kelele lakini wapi hata leo navoongea tembo wanapigwa na mishale ya sumu na meno kung'olewa.Tafadhari mwenye uelewa anifahamishe hivi bei ya jino moja ni shilingi ngapi kiasi cha mtu kukubali kukabidhi roho yake kwa...
  17. bornagain

    Mwanamke ana wajibu wa kumlinda mume wake

    Jamani samahani sana kwa watakaokereka na mada hii lakini kwa kifupi ni kwamba tupo kwenye jukwaa hili kwa ajili ya kukumbushana na kusahihishana na hatimaye tulisongeshe gurudumu lamaisha katika nyanja zote. Mimi ni baba na ni mume, lakini kuna kitu katika maisha yangu ya ndoa huwa kinanitatiza...
  18. bornagain

    Huyu hapa mwanamke mwenye waume watano, ambao wote ni makaka wa familia moja

    India haiishi vituko, kuna mwanamke mwenye waume watano, ambao wote ni makaka wa familia moja na analala na kila mmoja kwa siku tofauti, sijuia kama huko kuna mambo ya TAMWA ama ndo tamaduni zao zinaruhusu Basi unaambiwa huyu dada Rajo Verma, mwenye umri wa miaka 21 kaolewa na wanaume watano na...
  19. bornagain

    Kwa Wanaume, Wanawake na Dada wa Maofisini

    Jamani mimi sijui kama ni ushamba wangu ama ni ugeni wa mambo lakini kwa vyovyote vile naomba nitakapokosea nikosolewe na nitakapoteleza nisahihishwe bila jaziba na matusi. Leo naongelea wanawake na wanaume waliopo makazini kwenye ofisi mbalimbali za serikali na za private. Mimi kwanza nitoe...
  20. bornagain

    Karibu kama unataka!

    Karibu kama unataka!
Back
Top Bottom