Search results

  1. bornagain

    Binti asiye na wazazi au mwenye wazazi yupi anafaa kuwa mke?

    Hata kama hujafafanua mimi maoni yangu ni kwamba, kama binti hana wazazi kabisa labda walifariki na akalelewa na ndugu wengine huyo hana shida ila pia chunguza kama hao ndugu waliomlea ndoa yao ipoje, kama mama ndio kila kitu huyo binti muache. Na pia kama wazazi wanaishi ila wametengana huyo...
  2. bornagain

    Ushauri wa mazoezi na diet

    Sio kweli huwezi kupunguza 15kg kwa miezi nane tu, haiwezekani labda kama ulipelekwa jela, eti kwa diet tu na mazoezi kidogo you are absolutely lying
  3. bornagain

    Dada na mdogo wake wananipenda bila kujuana

    Kwani wewe unafanya kazi internet cafe? Ama wewe unafanta kazi TCU kwamba ni professional wa kusaidia watu kuaply vyuo
  4. bornagain

    Mwanamke aliyekuacha akazaa na mtu mwingine vs mwanamke mpya mwenye mtoto wa mtu mwingine

    Hivi duniani kuna wanawake wangapi single na hawana watoto, utakufa kwa visukari na pressure siku sio zako.
  5. bornagain

    Mama Mkwe amenishangaza! Anamwambia mke wangu (Mwanaye) ataachana na mimi kama yeye alivyoachana na Baba Mkwe

    My friend umemaliza kila kitu kwenye hili andiko lako, yaani kama ni thesis haihitaj kwenda kwa external examiner
  6. bornagain

    Mama Mkwe amenishangaza! Anamwambia mke wangu (Mwanaye) ataachana na mimi kama yeye alivyoachana na Baba Mkwe

    Huwezi kunielewa ila walionielewa watakuwa wameelewa lakini pia nimeongea based on my own experience kwamba nimeoa familia ambayo baba na mama waliachana so naongea nachokijua na sio story za kusimliwa. Kwa hiyo please acha kugeneralize sijui walokole ama wapagani hapa hayahusiani tujikite tu...
  7. bornagain

    Mama Mkwe amenishangaza! Anamwambia mke wangu (Mwanaye) ataachana na mimi kama yeye alivyoachana na Baba Mkwe

    Kusema ukweli binafsi nimeoa familia ambayo mama na baba walitengana, ila mtu akija kuniomba ushauri kijana anaetaka kuoa mtanisamehe sana ila siwezi kumshauri akaoe kwenye nyumba ambayo baba na mama walitengana, kama kifo ndio kiliwatenganisha hapo sawa ila eti baba anaishi na mama anaishi huku...
  8. bornagain

    Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

    Hahahaha haki nimejikuta nacheka
  9. bornagain

    Nauza.....!!!

    Natafuta hii kitu muda mrefu, please unapatikana wapi. Niinbox namba yako nikutafute pls
  10. bornagain

    Hii ndio ramani rasmi ya Tanzania, imetolewa leo Mei 17 2016

    Hiyo ramani ya mwaka gani mbona haina hata mkoa mpya wa Songwe?
  11. bornagain

    Viongozi Wengine Duniani Waliopata zaidi ya 90% kwenye Uchaguzi

    Umemsahau Paul Kagame wa Rwanda aliwahi kupata 94% pia
  12. bornagain

    Mwiba Holdings Limited

    Umeskia waziri mkuu amewapa siku ngapi hawa wawekezaji? Amewapa siku saba wajisafishe la sivo hati yao ya uwekezaji inafutwa mara moja
  13. bornagain

    Kitila Mkumbo: Ndalichako amekosea

    Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anataka tena kuturudisha nyuma, upele umepata mkunaji tena naona asiishie kwenye GPA tu aende mbele kuangalia degree za pili zinazotolewa na vyuo vya hasa Vodafasta Mzumbe na kwingineko kama hazina viwango futa zote tuanze upya.Tulishakosea mwanzo kwa Shukuru...
  14. bornagain

    Imarisha ndoa yako hapa

    Daaa ingekuwa ndowa zote ziko hivo walai tungeeenda wote peponi
  15. bornagain

    Baadhi ya wanawake na bikra

    Hahahaha eti bikra watoe wengine ndoa nifunge mimi, hahahaha
  16. bornagain

    Eliakim Maswi aondolewa TRA na kupelekwa Manyara kuwa Katibu Tawala Mkoa (RAS)

    Mbona wakati anateuliwa hatukuambiwa kuwa ameteuliwa kwa kazi maalumu?
  17. bornagain

    Ndalichako akata mzizi wa fitna

    Unashika cha kwako???? Subiri ushike cha kwako na soma kwa bidii ili uwe na hamu ya kuingia chuo ndo uyajue hayo ya GPA huko, sasa ukianza kuzijulia huku chini hutakuwa na hamu ya kufika zinakohusika, unakuwa kama mwanamke ama mwanaume anaenza umalaya akiwa mdogo so akifika umri wa kuolewa...
Back
Top Bottom