Search results

  1. S

    Tunataka maendeleo, hatutaki vita! Tuzikatae kauli hizi za uchochezi

    Ni juzi tu, tena kwa bahati, wala si kwa maarifa na umakini, tumetoka kuutuliza upepo uliokuwa ukivuma vibaya wa mauhusiano na majirani zetu wa Rwanda na Malawi! Hatuna tena magwiji wa Diplomasia wa kutanzua kwa haraka mitarafuku ya aina hii kama ilivyokuwa hapo awali. Tulionao ni wataalamu wa...
  2. S

    Uchaguzi wa Madiwani kata za Arusha Waahirishwa hadi Juni 30, 2013

    Hii sasa ni zaidi ya hatari. Tatizo la kuzoea kutawala badala ya kuongoza ndio hilo. Mabavu mengi, akili kidogo! Hakuna tena great and wise thinkers katika kambi yenu. Mnatumia mbinu za kijinga ambazo hazijapevuka. Iwapo udiwani yu ni hivi, ubunge je? Urais? Sasa ndio picha inaonekana kuwa...
  3. S

    Siasa ni uchumi, miundombinu Dar Es Salaam inaua uchumi, tubadili masaa ya kazi!

    Wakuu, kwa hali ilivyo sasa na hasa kwa wakazi wa Dar Es Salaam, Jiji linalochangia kwa kiasi kikubwa mapato katika Tanzania, hali ya msongamano wa magari na foleni barabarani inatisha. Watu wanalala na kuamka barabarani! Siasa zinatakiwa zijielekeze katika kujenga uchumi, lakini katika eneo...
  4. S

    Ninalaani vikali kukamatwa kwa Lema! CHADEMA msipochora mstari...

    MMM uko sahihi sana. Ni lazima kuchora mstari sasa na vyombo vya dola vielewe kuwa mamlaka ya mwisho yako kwa wananchi. Viwaheshimu na kuwatendea haki wenye Nchi. Wasi wasi wangu ni nani wa kuuchora huo mstari? Kwa lugha nyingine mstari unaotakikana una namna yake ya kuuchora, ni nani wa...
  5. S

    Sakata La Tembo: Shehena ya Pili Yakamatwa Hong-Kong Toka Tanzania

    Watanzania wakumbuke kuwa wao ndio wenye mali. Serikali wameipa dhamana tu ya kusimamia mali hiyo kwa manufaa ya umma. Iwapo wenye mali wakiona msimamizi ameshindwa kusimamia mali yao, wanachotakiwa kufanya si kulalamika, ni kumuondoa msimamizi huyo na kumuweka mwingine aliye makini!
  6. S

    Maggid Mjengwa: Kuhusu mimi kumfahamu Ludovick

    Maggid, rafiki yangu, pole sana. Huo ndio mfumo uliokulea, huwezi kuubadilisha. Uliporudi kutoka ughaibuni, ulikuwa na muelekeo mzuri na uandishi ulionyooka. Baadae ukaja kubaini kuwa aina hiyo ya maisha haiwezi kufanya kazi hapa nyumbani kama ulivyozea huko nje ulikokuwa. Taratibu ukaanza...
  7. S

    Uzembe huu wa kushindwa kuilinda mipaka ya Tanzania hauvumiliki!

    Wakuu, Nimesoma kwa mshangao na mshtuko taarifa iliyotolewa na Waziri S. Sitta mbele ya kamati ya mambo ya nje naushirikiano wa kimataifa inayoongozwa na Edward Lowasa na kuripotiwa na gazetila Mtanzania la tarehe 29/03/2013 kuhusu kutwaliwa maeneo ya Tanzania kienyejina nchi jirani.Waziri...
  8. S

    How DR Congo conflict could ignite regional war(must read please) see how Tz is involved.

    Members, why exchange angry words instead of discussing issues? Bring in issues, not CVs. In issues, members will be able to tell your CVs! Good day to you all.
  9. S

    CAG Ludovick Uttoh apendekeza nafasi yake iwe ya kuchaguliwa na bunge

    CAG anatakiwa apendekeze kwa mapana. Kwa kuwa yeye anakagua ofisi za umma anafahamau ofisi nyingine nyingi za umma ambazo zinakosa uhuru wa kiutendaji kwa kufunikwa na uteuzi wa Ikulu. Ni vema aziainishe kwa kuzitaja na ofisi hizo pia. Asitaje tu Ofisi yake wakati anajua anapata mzigo mkubwa wa...
  10. S

    CHADEMA na Polisi wakubaliana kusitisha maandamano ya Machi 25

    CDM na viongozi wake ni lazima kuwa na msimamo, vinginevyo watu wataanza kukosa imani na nyinyi. Hii kukaa na kusema mmekubaliana na mnaowaita kila siku kuwa ni watesi wenu, policcm, bila kubainisha misingi ya makubaliano yenu haileti picha nzuri kwa wapenzi na wadau wenu wa siasa. Nimeweka...
  11. S

    Tujiepusha na migogoro isiyo ya lazima na nchi jirani

    Wakuu, Jana, Jumanne, WaZIRI Mkuu wa Kenya, Raila Odinga alitembelea jimbo lake la zamani la Langata, jijini Nairobi na kuwasihi wapiga kura wake kutulia na kusubiri maamuzi ya Supreme Court kuhusu hatma ya maombi yao kupinga ushindi wa Uhuru Kenyata. Katiba yao mpya inaruhusu kupinga...
  12. S

    Suala la Kibanda sio level yangu-muulizeni Kova- waziri wa Mambo ya Ndani

    Kweli huu ni ulevi wa madaraka na upeo mdogo sana. Kujiona mkubwa kuliko wananchi wanonyanyasika na kuumizwa ambao ndio waliomuweka hapo. Hawa ndio aina ya viongozi tulionao! Aliyoyafanyia kazi yeye kwa level yake ni yapi?:-*
  13. S

    Tuwape wakenya hongera, pole! Tz tujipange na kutumia fursa hiyo.

    Wakuu, Sakata la uchaguzi Mkuu waKenya kupitia Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mipaka limekamilika kwa Tumekumtangaza Uhuru Muigai Kenyatta kuwamshindi wa nafasi ya Urais. Uhuru Kenyatta kwa mujibu wa hesabu za Tumeameshinda kwa kujipatia takribaniasilimia 50.07 ya kura zilizopigwa na hivyo...
  14. S

    KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    It looks like ST- Smiling Terrorist- is at wort! Again
  15. S

    Dr Hamis Kigwangala(Mbunge); Najipanga kuacha siasa

    Huyu jamaa ana tatizo gani? Kwa nini anajiona maarufu sana wa kubembelezwa? Kafanya nini jimboni kwake? Kauli zake hazina mashiko, ni ubabaishaji mtupu. Anakumbuka kweli kauli zake? Ni mara ngapi ametoa kauli za kuachia ngazi halafu baadaye akifikiria maslahi binafsi anatabadilisha uamuzi...
  16. S

    Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    Mkulima wa Kuku amemaliza yote!
  17. S

    Maandamano Dar kupinga kudhalilishwa kwa viongozi wakuu wa serikali ya Tanzania...

    Dawa yao ndogo tu: WAKIPITA NA MAANDAMANO YAO YA KIJINGA, WAZOMEWE NJIA NZIMA: NDIO WATAPATA AKILI!
  18. S

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Tusiwe na haraka. Kazi ya kuhesabu kura pamoja na kurekebisha dosari zilizojitokeza katika maeneo mbalimbali inaendelea. Hata wakenya wenyewe bado hawajaanza kubashiri nani mshindi kwa sababu zile ngome kuu za washindani hesabu yake bado. Idadi iliyohesabiwa mpaka sasa ni ndogo ukizingatia...
  19. S

    Wito: Yaitishwe maandamano nchi nzima kupinga mgao wa kimya kimya wa umeme

    Mkuu Masopakyindi, macho yako yawe yanatazama na busara pia. Sio ugali tu. Akili za kula tu na kujaza matumbo ndio zimetufikisha hapa.
Back
Top Bottom