Search results

  1. I

    Mfanyakazi wa Bodi ya Mikopo akamatwa kwa kuingiza Majina hewa na kujipatia ulaji mil 91

    Kama kawaida wanakamatwa dagaa wanaachwa papa. kama ni kweli aligushi, nijuavyo mimi si pesa taslimu zinazotolewa na bodi ya mikopo ila ni hundi, na hundi lazima itiwe saini kabla ya kupelekwa benki husika. ilikuwaje hundi ikasainiwa kwa majina yake kama siyo kwamba hata wakubwa walikuwemo...
  2. I

    Je sheria inasemaje kuhusu wakati gani madaktari wanaweza kugoma?

    habari zenu wanaJF, nimejiunga leo, lakini kwwa miaka miwili nimekuwa nikisoma na kuelimika na jamvi hili. Kwa upande wa hoja ya mgomo wa madaktari ieleweke kuwa chanzo ni kuchelewa kwa posho ya madaktari waliokuwa intern Muhimbili NH. Wakati wa ucheleweshaji huo sheria zetu zilikuwa kabatini...
Back
Top Bottom