Search results

  1. J

    Je watu wanaipenda CCM au maslahi binafsi !

    Si kwamba kuna mtu anaipenda CCM, ila ni kwamba watu hawajapata mbadala wa CCM,....Siku Tanzania tutakapokua na upinzani IMARA hakuna atakayechagua CCM... Ila kwa sasa TLP, NCCR, CUF na CHADEMA, n.k wameshindwa kukata kiu ya watanzania wanaopenda mabadiliko ya kweli!
  2. J

    Kama ningekuwa mzee Sabodo au mzee yeyote ninayeheshimika CHADEMA ningefanya hivi:-

    kaka umeongea yaliyoko moyoni mwangu na ninaamini yako ndani ya watanzania walio wengi wapenda mabadiliko. Natumaini walio na masikio ya kusikia na macho ya kuona wanasikia na kuona.
  3. J

    CHADEMA chasambaratika kwa kasi mpya na ari mpya

    Mmmh!, me binafsi sidhani kama chama kinaweza kuwa dhaifu kiasi hiki!, CDM ni chama cha vijana, kwa hiyo changamoto kama hizi zilitarajiwa,.. cha msingi viongozi wakae na kutafuta namna bora ya kureadresss swala!,...
  4. J

    Madiwani wa kata za Kigamboni wawasaliti wananchi wao

    We mtoa post acha kuwa ADUI WA MAENDELEO, kuna ubaya gani watu kujifunza jinsi miji inavyojengwa, au wewe unataka watu wajifunze miji inavyobomelewa! kwanini tusimsapoti mtu anapofanya jambo zuri?,.. yani watanzania tumefika point ya kupinga hata UJENZI wa miji!! kwali kazi ipo!
  5. J

    Chuo kinachotoa masters ya oil and gas

    Thanks guys for your reply
  6. J

    Chuo kinachotoa masters ya oil and gas

    Msaada tafadhari kama unayejua chuo kinachotoa kozi ya oil and gas management kwa ngazi ya masters, (ndani na nje ya Tanzania).
  7. J

    Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani

    kweli zitto yuko sahihi kabisa, kila mwanadamu ana mapungufu yake hivyo hakuna anayestahili kuaminiwa isipokua unapaswa ujiamini wewe mwenyewe na Mungu basi!, Mbona me sioni kama alichokisema zitto ni kitu cha ajabu?, au kwa sababu ni zitto!! Tanzania tuna issue nyingi za msingi za kujadili...
  8. J

    Msaada wa application nzuri kwa ajiri ya kudesign matangazo, vipeperushi, nembo za kwenye T-shirt

    Wadau msaada please kwa anayejua application nzuri ya ku-design matangazo, vipeperushi n.k
  9. J

    Vituo vya mabasi kutoka Dar kwenda mikoa mingine kujengwa Mbezi Luis na Basihaya (Tegeta)

    Wazo zuri Sana. Ni kweli itawachukua muda watu kuzoea, lakini tunapotaka maendelea lazima kukubali kulipa gharama! Nakumbuka wakati kituo cha mabasi kinahamishiwa ubungo, watu walilalamika sana na kweli kipindi hicho ubungo kulikua nnje ya mji kabisa! lakini swali la kijiuliza kama kituo...
  10. J

    Hongera January Makamba, Poleni Vijana wa Vyuo Vukuu!

    Kweli hawa maraisi hawako serious wala sidhani kama wanafanya mamnbo yao kwa maslahi ya wanafunzi waliowachagua. Jinsi vyuo vikuu vilivyojaa matatizo lukuki nyinyi mnapata wapi muda wa kuwachagulia watanzania Raisi, alafu eti mtaunda tume ya kwenda kumshawishi Makamba kuwa raisi wa Tanzania...
  11. J

    Huyu ndiye mh. Mbowe na hatari ya kujikanyagakanyaga kwenye kauli zake,amekosa msimamo kupita kiasi

    ALICHOKUA ANAKIPINGA Mh. Mbowe ni MCHAKATO wa katiba hasahasa uchaguzi wa mabalaza ya katiba, kitu ambacho si mbowe tu anakipinga ila hata wanaharakati na watanzania wengi pia tulikipinga!, ANACHOKIUNGA MKONO mheshimiwa mbowe ni RASIMU ya katiba kwa kuwa maoni mengi waliyoyapendekeza kama CDM...
  12. J

    CHADEMA Kupata Kura 28.34% Ngome ya CCM Iramba Linatuambia nini?

    Ni dalili nzuri za demakrasia ya kweli, siasa zinanoga kunapokua na ushindani wa namna hii, lazima tukubari kuwa CDM wanawahitaji CCM na vilevile CCM wanawahitaji CDM, hakutakua na demokrasia ya kweli kama majimbo yote yatashikwa na CDM na vilevile hakutakua na demokrasia ya kweli kama majimbo...
  13. J

    WAKENYA wanaweza kuchagua "MATATIZO" Kwa Jina la Ukabila

    Let kenyans decides, what they want to decide, who are u to decide for them! ''Ya wakenya waachie wakenya we hayakuhusu, shughurikia 60% zero za future generation ya nchi yako''. Tanzanians are too experts on other people's business while theirs are too high for them!.. shame.
  14. J

    Certified Information System Auditor (CISA)

    kwa anayejua vyuo vinavyootoa certification ya CISA msaada tafadhari.
  15. J

    Msada please

    Thanks ajy
  16. J

    Msada please

    Nataka kujailbreak ipad 3 msaada tafadhari.
  17. J

    Msaada wa iPad

    Nataka kuistall more application kwenye iPad tablet lakini nashindwa masaada please!
  18. J

    Hivi Wakenya wametushinda nini?

    Jibu la swali lako ni swali lako!,... namaanisha walichokushinda ni wewe kuanza kuwadiscuss wakati wenzako hawana muda wa kupoteza kukudiscuss wewe!,.... hakuna walichokushinda, fanya kazi be proud of who you are and what you have!....
  19. J

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Me sioni shida mtu anapotangaza nia yake hadharani, zitto anaonyesha yeye si mnafiki ila ni mkweli, na mara nyingi watu kama yeye huwa wanachukiwa, me naamina kila mtu anapenda kushika wadhifa huo mkubwa katika nchi ya Tanzania, tatizo ni wachache wanaojiamini hadi kusema hadharani kama zitto...
Back
Top Bottom