Search results

  1. ksksk

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Wengi wetu tunakula kinachopatikana siyo tulichokipanga
  2. ksksk

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Asante kwa mawazo yako inaonesha jinsi gani huna ufaham juu ya hilo
  3. ksksk

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Yaani si unajua mambo ya bima ya afya ya mwafrica sasa katika hiyo bima mojawapo ndio ipo hiyo dawa kama kinga tu kutodhuliwa na watu wenye roho mbaya
  4. ksksk

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Hiyo ipo hasa kwa watu wenye umri mkubwa ni mambo ya dawa za asili mara nyingi anachukuliwa mgonjwa husika anawekwa ndani alafu sehem ya paa inatobolewa kidogo anapigwa na ule mwaga wa jua akiwa ndani hapo ndio anakata roho vingnevyo ataoza na harufu juu
  5. ksksk

    Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

    Hilo la kuanguka chooni au kupooza mara nyingi ni process tu za kuoga unapaswa maji ya kwanza uanzie miguuni na siyo kichwani kama wengi wanavyofanya na hii inatokana na sababu za kimwili zaidi
  6. ksksk

    Jiji la Mwanza kuna kitu hakiko sawa

    Mwanza siyo barabara tu hata maji ni shida kubwa tena kwa mda mrefu lkn hakuna anaejali wala nini
  7. ksksk

    Tiba ya ugonjwa wa Pumu ya ngozi

    1. Tumia asali ya nyuki wadogo kumpakaa kutwa mara 2 hii ilimponya mwanangu. 2. kuna sabuni inaitwa potassium permanganate Unakuwa unamwogesha nayo kwenye pharmacy nyingi inapatikana hii Kila la kher mkuu
  8. ksksk

    Dokta Greyson Babishomba: Kuchat usiku kunaharibu figo

    Hizo figo zimejuaje kama ni usiku wakati zipo huko ndani ndani
  9. ksksk

    Msaada: Naogopa kazi mpya

    Magu aliwah kusema alibip urais akasukumizwa lkn akawa rais hivyo jitose tu mkuu mambo ni mbele kwa mbele huenda kupitia huko ukapata tena inshu kubwa zaidi
  10. ksksk

    Uchambuzi wa Kitaalam: Maandamano yanaibomoa CHADEMA kuliko kuijenga

    Wachawi siku zote wanafurah mtu akiharibikiwa sasa wewe kama CDM wanaharibikiwa si ndio furaha yako maelezo mengi ya nini mkuu au we bado hujapanda cheo
  11. ksksk

    DOKEZO Mabucha ya Nyama Kanda ya Ziwa yachunguzwe kuhusu dawa wanazopuliza buchani

    Ndio maana huwa nashangaa unapita mahala butcher ilipo na unaona katundika utumbo nje lakn hamna inzi hata mmoja anaeonekana kutua pale tena syo mara moja tofauti na zamani kidogo hali haikuwa hivyo
  12. ksksk

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    Hao M23 kimtindo wanachekesha sasa ushaambiwa vita ni vita mura unamchagulia vipi Adui siraha ya kukupiga nayo ilihal mtu kaacha familia na Nchi yake kwa kazi maalumu ikamilike arudi chapu au walizoea vita ya kubembelezana toka miaka dahali ili waendelee kuiba madini ya banacongo
  13. ksksk

    Tumalizie charge kwa kutaja nyimbo za kibongo 5 ambazo ni "TIMELESS"

    Chagua mwenyewe- Bob Haisa Mtoto Idd- Kiroboto Starehe - Ferooz Dhahabu - Dully sykes Kikao cha dharura - prf j Siri yangu -lady Jd
  14. ksksk

    Umewahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Wanautu sana kulko maelezo na ni majasiri mno ni ngumu sana hawa jamaa kukuacha njiani hata iwe usiku pamoja na kuwalipa lkn wanasaidia sana watu njiani kumbeba mtu tu njian hata kama anakulipa lkn humjui hakujui yataka moyo hasa usiku tena siku hawa jamaa wakiacha kuwa wastaarabu basi ajali...
  15. ksksk

    Wateja Benki ya CRDB kuzawadiwa zawadi za Sh. Milioni 470 kampeni ya Benki ni SimBanking

    Kwa Network ipi alonayo mkuu saivi kila siku hamna network
  16. ksksk

    Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

    Mwenyezi Mungu fundi mkuu yule anajua kuliko we hujiulzi mwembe mti mkubwa vile kkn ukapewa matunda madogo lkn tikitki maji na kutambaa kwake ukapewa matunda makubwa sasa fikiria mwembe ndio ungepewa matunda saizi ya tikitimaji alafu uwe unapita likudondokee kichwani ingekuwaje mkuu TUMCHE MUNGU...
  17. ksksk

    Video: Wamasai wazichapa na Walinzi wa kawaida

    Kuna sababu syo bure toka enzi za mwalimu wao na sime na vikoi vyao hawajawahi kuleta vurugu
  18. ksksk

    Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    Mambo ya utafutaji na changamoto zake hii Dunia .mpambanaji apumzike kwa amani
  19. ksksk

    Wataalamu wa mambo ya madini

    Mkuu kama ni karasha /crusher pale Shy town yanatengenezwa mengi tu japo bei zake sifahamu
Back
Top Bottom