Search results

  1. I

    Waziri Sitta achongewa kwa Lowassa

    1:Salim Ahmed Salim (born 23 January 1942, Zanzibar, present-day Tanzania) a Tanzanian diplomat who has worked in the international diplomatic arena since the early 1960s. Salim is married to Amne and they have three children: Maryam, Ali and Ahmed. 2:Edward Ngoyai Lowassa (born 1953) is a...
  2. I

    Makao makuu ya CHADEMA hapaingiliki toka Lwakatare akamatwe

    kitengo cha slaa cha kupambana mitandaoni@work
  3. I

    Simba wazichapa kavukavu mapokezi ya mwenyekiti mh. Aden rage

    MWENYEKITI wa klabu ya Simba, Alhaj Ismail Aden Rage amerejea jana jioni mjini Dar es Salaam akitokea India alikokuwa akitibiwa na kuzusha tafrani Uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam. Kuna makundi mawili ya wanachama wa Simba SC, yaliyofika uwanjani hapo kumpokea kiongozi...
  4. I

    Waziri Sitta awaanika wabunge wa Afrika Mashariki kuhusu posho

    Huyo Atakua mzee wa kitengo cha kupambana mitandaoni kile cha mtuhumiwa LUDO,ndio wenye mawazo mpauko sampuli hiyo
  5. I

    Waziri Sitta achongewa kwa Lowassa

    Salima Ahmed Salim(SAS),andika mahali jina hili halafu ukifika wakati tutadurusu pamoja kukumbushana hii tarehe ya leo!
  6. I

    Waziri Sitta awaanika wabunge wa Afrika Mashariki kuhusu posho

    Tanzania kama inataka rais serious na mkweli basi ni mzee sitta,sema bahati mbaya kwenye chama alicho watu kama yeye huwa hawafiki mbali
  7. I

    Waziri Sitta awaanika wabunge wa Afrika Mashariki kuhusu posho

    vipi na wewe unavyoendaga personal kila linapokuja suala la zitto!!
  8. I

    Vita kati ya Ben wa Saanane na Zitto Kabwe vitaiharibu CHADEMA

    hawa vijana Ben na genge lake wanalipwa kushinda humu,nasikia Ben ndio karithi mikoba ya Ludo kwenye kitengo cha kushinda mitandaoni,akipewa chips yai na fanta baridi hatoki kwenye laptop,jioni ankirudi nyumbani anamwambia mkewe alikua kazini,thats sucks meeeein!
  9. I

    Vita kati ya Ben wa Saanane na Zitto Kabwe vitaiharibu CHADEMA

    una ushahidi kwamba ni huyo we kilaza!
  10. I

    Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    Okey,sawa..haya tueleze kwanini Dr.Slaa leo anamkana Ludo?wewe binafsi unamwamini Dr.slaa kwenye kama anasema kweli hamjui Ludo????nahitajika ufafanuzi zaidi toka kwenu mavolunteer watiifu wa chadema
  11. I

    Vita kati ya Ben wa Saanane na Zitto Kabwe vitaiharibu CHADEMA

    Ni vita kati ya slaa na zitto,Ben anatumika tu kama condom baada ya matumizi yake kwisha atatupwa jalalani kama zitto alivyokua akimtumia kabla ya ben kunyea kambi!
  12. I

    Hivi kwanini ukihoji mambo fulani juu ya Dr. Slaa na Mbowe unaonekana msaliti?

    Namba moja hata mtoto wa darasa la kwanza anajua ni kweli labda wewe great thinker tu ndio unjifanya hujui!jambo hilo liko wazi na huyo mama bado kamng'ang'ania tu ushabiki wa kijinga@work
  13. I

    Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

    Hivi kwanini toka sakata hili la kuwalwakatare wabaya wa chadema Ben amekua halali anaweweseka kujaribu kufanya cover up na kuhamisha story,kila siku anakuja na thread mpya,hivi anafanya kazi gani huyu kijana au ndio amerithi mikoba ya Ludo kwenye kitengo cha kupambana kwenye mitandao ya...
  14. I

    Mawakili: Membe ashitakiwe kuhusu maadui zake ambao amesema atawatwanga

    kwa sababu hajajirekodi akipanga mikakati ya kuwalwakatare waandishi wa habari!
  15. I

    Mawakili: Membe ashitakiwe kuhusu maadui zake ambao amesema atawatwanga

    Lowassa angekua Basha huyu msomali Bashe naona angekua ameharibika sana aisee,manake anvyohangaika na Lowassa utadhani walizaliwa tumbo moja!gazeti kila siku the same stories its gonna be boring brother u better change the starategies
  16. I

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    mwenye jezi ya simba(nyekundu)ndio mtuhumiwa wa ugaidi LUDOVICK
  17. I

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Hivi hawa vijana,huyu ludo,ben sanane na wengine wasomi kwanini hawataki kufanya kazi walizosomea badala yake wote wanajazana chadema makao makuu kama volunteer na kuishia kulamba miguu ya viongozi.that's sucks!
  18. I

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    ni maneno ya kujifariji,mpango mzima ni aliyoyasema kimaandishi mleta thread,kwanini leo slaa na genge lake wanamkana kijana wao mtiifu ambae wamekua wakimtumia for years kuwekea watu sumu???
  19. I

    Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

    Ben sanane yupi?huyu aliekulua njama za kumlisha Zitto kabwe sumu au mungine?
Back
Top Bottom