Search results

  1. platozoom

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Na ukizingatia ilikuwa kwa mara ya kwanza Taifa linapata msiba wa Kiongozi mkubwa kabisa wa Kitaifa akiwa madarakani
  2. platozoom

    Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Pasco Mbona taarifa nyingine zinasema Mjeshi M alikuwa implicated kwa sababu Ndugu yake Luteni Maganga alihusika na jaribio, wakapata hisia naye pengine anahusika
  3. platozoom

    Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

    Canon Andrea Mwaka inatumia mtaala wa Cambridge na Walimu wake wengi ni kutoka Nje hasa Australia. Na ada haifiki 20 milioni. Tusikariri
  4. platozoom

    Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Mkuu. Maraisi wote ukimuondoa Abdull Wakil na Salmin wameishi Bara. Hatukuwabagua. Tena Salmin akapata Mke Bara
  5. platozoom

    Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Mbona umetoa Ile picha yako, nilikuwa nataka niisevu mahali nikasahau. Rusha basi mrembo
  6. platozoom

    Kuna uraibu wa vyakula vya nazi? Chakula cha nazi ni bora sana tofauti na kisicho na nazi?

    Kuna Daktari mmoja aliniambia alihusika kwenye utafiti flani mkoa wa Pwani. Akasema waligundua Kuna idadi kubwa ya Watu matatizo ya presha. Hii inatokana na kula vyakula vya nazi kwa wingi.
  7. platozoom

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Umenifurahisha hapo,Kwamba kila kitengo kinatakiwa kuwa na mtaalam husika, ila wao Wana upungufu. Ole wako private hospital ikose hata mtaalam mmoja, inakuwa balaa. Ndiyo maana ni nadra sana Mfanyabishara kuamua kuwa na Hospitali.
  8. platozoom

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hili halijajibiwa
  9. platozoom

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mimi nilikutana na Captain Kadego Kibo complex. Naye alinipa story nzuri sana ya mapinduzi. Ila waliohusika ikiwemo yeye walikuwa 'vichwa sana'. Story ilikuwa nzuri sana japo alikatiza. Nafikiri aina ya udadisi akadhani mimi mtu wa kitengo
  10. platozoom

    JamiiForums Usiku wa manane

    We Mkongo, Hanspope unamuita 'My brother'
  11. platozoom

    China na kuzindua ndege yake C919 lakini vitu vyote vinatoka kwa wababe wake

    Kwa kuanzia siyo mbaya, wamepiga hatua kubwa
  12. platozoom

    Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya pili

    Kweli Mkuu nakubaliana na wewe. Hata aliporudi masomoni kutoka UK akafundishwa kuvaa suti na Wazee wa Pwani
  13. platozoom

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Ndicho nilichoambiwa, ila Mzee MS anasema muaisisi ni Malima. Hii ni hila kama hila nyingine kutugawa
  14. platozoom

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Hivi hili la mfumo wa namba kwenye mitihani lilianza wakati gani? Nakumbuka Kaka yangu alitumia mfumo huu Mwaka 1982 ila hapa Mzee Said anasema uliasisiwa na Kighoma Malima!
  15. platozoom

    Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Hahaaa. Ndiyo maana ukalowea Congo. Papaa Mukulu
  16. platozoom

    Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Jamaa yangu Komba naomba asiwepo!! Anapenda sana kusafiri Mwezi kama huu hasa kwa basi. Nimemtafuta kwa simu hapatikani
Back
Top Bottom