Search results

  1. E

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    TBC nao wanamtumikia nani kwa faida ya nani??
  2. E

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    TBC nao wanamtumikia nani kwa faida ya nani??
  3. E

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Ninasikitika kwamba hiyo taarifa siyo ya wazungu,ninatamani mataifa ya magharibi yangedeclare kutompenda Lowasa ili furaha yangu ya kumchagua iongezeke!!!!!Sitamani kuwa na rais atakayetunukiwa Phd kwa gharama ya gas yetu.
  4. E

    Makamu wa Rais Gharib Bilal kutangaza kukihama chama cha Mapinduzi

    Lengo la mageuzi siyo kugawana wizara wala wilaya!!Serikali ya UKAWA itapunguza ukubwa wa baraza la mawaziri na kufuta cheo cha mkuu wa wilaya.Tabia ya kugawana vyeo badala ya majukumu ndiyo iliyolifikisha taifa hapa lilipo.
  5. E

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Tuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa haki kama taifa!!Ni kweli kuwa kiongozi wetu akituhumiwa anapaswa kukaa pembeni kama alivyofanya Lowasa,ingawa Magufuli hakufanya hivyo.Anakaa pembeni ili kutoa nafasi ya kuthibitishwa au kukanushwa kwa tuhuma hisika baada ya uchunguzi.Sasa bwana...
  6. E

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Kwamba mgombea hapaswi kuwa na tuhuma; sijaelewa uhalali wa Magufuli pia kuwa mgombea kwa msingi huo.
  7. E

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Jamaa sijui kawaza nini,ameongea kama anazungumzia kitu halali kabisaaaa!!Hawa wagombea wa CCM ni janga kubwa.
  8. E

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Nilipata bahati ya kuwa katika kijiji cha HAYDOM,wilaya ya MBULU wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa nipo TARIME VIJIJINI kwa kwa zaidi ya miezi miwili.Ninashindwa kuelewa hivyo vijiji ambavyo CCM wanaamini watu wake wamebaki na akili za zamani ni vijiji vya wapi????
  9. E

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Hawana utaratibu wa kupiga kura za siri kupitisha wagombea wao miaka yote siyo leo tu!!
  10. E

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Watu mnaogopa kuwapokea watu eti waliiba kura 2010!!Tume yetu bado siyo huru na wizi wa kura utakuwepo,hao waliowahi kuiba kura wanaweza kuwasaidia namna bora ya kupambana na wizi wa kura kuliko mnavyofikiri ninyi!!
  11. E

    Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    MTAMA ni jina la jimbo.
  12. E

    Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    Kushabikia CCM inabidi uache kushirikisha ubongo wako au ubongo wako uwe dhaifu!!!Mtu anauliza eti unajuaje kuwa mtu anataka kuhonga kabla hajahonga????CCM bila rushwa haiwezekani,Mangula alilitambua hilo akatuliza mzuka alioingia nao.
  13. E

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    Kwamba alikuwa akishirikiana na Zitto na Slaa kupanga mikakati MIBAYA na mizuri kwa nchi!!Wakati wote huo DHAMIRI yake ilimruhusu lakini uteuzi wa wakristo watupu na kuvuliwa nyidhifa kwa Zitto na Kitila dhamiri imekataa.Bado tuna tatizo kubwa sana ktk siasa za taifa letu.
  14. E

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Achilia mbali 0 unapata leaving certificate,Mwinyi hakufika kabisa!
  15. E

    Kutoka Kigoma kaskazini

    CDM wakishindwa Kigoma kaskazini,atashinda Robinson Lembo wa CCM.
  16. E

    Kutoka Kigoma kaskazini

    ZZK yuko vizuri upstairs lakini bado anapungukiwa uwezo wa kuhimili siasa za jimboni kwake na chama chake.2010 alishinda kwa shida sana dhidi ya Robinson Lembo wa CCM,mnaosema ana uhakika wa kushinda jimboni cjui kigezo chenu ni nini!!
  17. E

    Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

    Kuna changamoto zinapelekea hayo mnayolalamikia.Ideally hata paracetamol mgonjwa anapaswa kuelezwa madhara yanayoweza kutokea!!Recommended history taking and physical examination time isn't less than 40min,achilia mbali muda wa kumuelimisha mgonjwa.Siyo rahisi kutenda ipasavyo,tunajaribu kufanya...
  18. E

    TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

    JK alipotangaza mshahara wa madaktari(wanachama wa TUGHE) pale Diamond Jubilee mbele ya wazee wa CCM; TUGHE walikuwa wapi kusema ujinga huu?
  19. E

    Zitto: Kwa hali niliyoiona Vijijini inabidi nitafakari upya kustaafu Ubunge

    Siyo kufikiria upya,mpango ni mzima ni kubaki jimboni 2015.Magamba hayapaswi kupata nafuu hata kwa bahati mbaya!
  20. E

    Dr Slaa atinga kwenye media za Kenya

    Siamini kama kweli uelewa wako ni mdogo kiasi hiki,likely ni athari za siasa uchwara.Amelielezea vema hlo mpaka akatumia Rwanda kama mfano,misaada ni relief ya muda mfupi ktk harakati za kujenga taifa imara!!Ni aibu 50yrs post independence vichwa vinatuuma kwenye sector ya afya eti kwa sababu...
Back
Top Bottom