Search results

  1. J

    Simulizi: Najisalimisha

    SIMULIZI: NAJISALIMISHA MTUNZI:JUDITH KAUNDA 0682253906 STELLA Kwenye hii Dunia kuna mambo ambayo kila mmoja wetu amelazimika kuwa nayo bila hiari yake, kama ambavyo maisha hayatupi nafasi ya kuchagua kuzaliwa jinsi tulivyo. Hakuna aliyechagua azaliwe na mzazi aliye naye. Kama ilivyo kwa...
  2. J

    Mzazi wakati unasomesha usisahau kuwekeza kwaajili ya kesho yako

    Habari wana JF, Asilimia kubwa humu wazazi wetu wameishia elimu ya msingi na wengine hawakusoma kabisa, lakini wamepambana kwaajili yetu na kwakiwango kikubwa wamefanikiwa tumesoma sekondari na wengine mpaka chuo. Hata wewe hapo ulipo unapambana mwanao afikie elimu ambayo wewe hukufika na ili...
  3. J

    Tukio gani umewahi kufanya ukweni na hutokuja kulisahau?

    Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu. Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
  4. J

    Wanawake tuache ubinafsi!

    Hii ndiyo dunia niliyoambiwa kuwa uyaone! Wakati wengine wakikesha kwenye ibada na kwenye vilinge vya waganga kutafuta ndoa, wengine ndoa zimewashinda wanatamani kuachika. Lakini wanawake tuache ubinafsi! Wakati unafikilia kuachana na mumeo unajifikilia mwenyewe tu, "Nikitoka hapa nikapange...
  5. J

    Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  6. J

    Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  7. J

    Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani. Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya...
  8. J

    Mwanaume wewe ni mwamba, kichwa na kiongozi. Kaa kwenye nafasi yako

    Habari wana JF, Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
  9. J

    Zuchu adhihirisha hofu yake ya kuachwa na kujihami kwa kwikwi

    Habari Wana JF, Mimi ni shabiki na mpenzi wa mziki mzuri haijalishi kaimba nani na kwa lugha gani. Kwangu Zuchu ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri, lakini Leo nataka tuongelee huu wimbo wake mpya wa KWIKWI. Nadhani watu wanaucheza sana kuliko kusikiliza ujumbe wake Haya ni baadhi ya maneno...
  10. J

    Wanawake tupunguze mdomo, tunawaponza waume zetu wenyewe

    Ni kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe". Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani. Dada unajijua huingizi...
  11. J

    Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

    Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao. Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja. Huyo huyo mwanaume hafanyi...
  12. J

    Wanaume acheni uongo, ukweli utawaweka huru

    Unakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema anampenda huyo mchepuko zaidi na yuko tayari kuachana na mkewe, hapo hajui km anatengeneza Bomu mchepuko...
  13. J

    Mchana wa kutisha

    Mwaka jana nikiwa naishi mtaa fulani nilishuhudia tukio la ajabu ambalo halikusisimua tu mwili wangu bali ulipata ganzi kwa dakika nikashindwa kuamua nini chakufanya. Naitwa Judith nimeolewa na nimejaliwa watoto wawili wa kiume. Ndani ya geti la nyumba niliyoishi kulikuwa na eneo la wazi siku...
  14. J

    SoC02 Nimeishi utumwani miaka sita

    Mnamo mwaka 1865, kwa mujibu wa vitabu vya historia. Biashara ya utumwa ilifikia tamati ulimwenguni kote. Mimi najua, na wewe unajua Afrika utumwa haukukomeshwa mwaka tajwa. Ni mwaka 1961 Disemba uhuru wa Tanganyika ulitangazwa. Wewe unajua na mimi ninajua, nchi ipo huru lakini si kila...
  15. J

    SoC02 Hii ni sauti ya dada yako, rafiki yako naitwa Judith Kaunda, karibu unisikilize

    Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la mapenzi ya jinsia moja. Kama uliipita vyema balehe yako, basi na tumshukuru Mungu. Balehe nd’o ujana...
Back
Top Bottom