Search results

  1. K

    Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

    wapumbavu ni wengi ktk nchi ya tanzania ndo maana wengi hawana ajira na ht km hajasoma kuna kazi nyingi ktk nchi yetu makampuni makubwa yamewekeza tz zina uwezo wa kuwapa vijana kazi nyingi tu ambazo si proffessional..lkn kulingana na siasa za washenzi walioingilia nchi inakua ngumu sn kwa watu...
  2. K

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    kitu mnyika bhana....
  3. K

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    hana akili huyo mama...hakua na kazi ya kufanya wanae hawamshangaiii au nao wapo km yy.....
  4. K

    Dada wa Kikenya alipotaka ku..Aliniambia huku ananiangalia machoni!!. . . .

    ahhahaha kwan kuombwaaa ni kosaaa mbona ninyi mwaombaaa jaman loh
  5. K

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    ninapenda kuliongelea swala la watu kuuawa bila sbb za msingi naishangaa nchi hii iliyona aman na utulive ...eti kuna viongozi wa majeshi ya ulinzi na usalama...wanafanya nini ...TAFAKARI CHEDEMA NDO WAMEKUA POLICE SS KUFATILIA HAKI ZA WANANCHI NA MALI ZAO...JE HII NA KAZI YA CHADEMA LKN NI KWA...
  6. K

    Picha: Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa... [Extreme Images]

    huu ni ushenzi na nchi imekua ya ushenzini...kifuatachoooooo mtakiona 2015...na km sisiem hawaachiii uongozi sijui itakuajeeee......
  7. K

    hodi ndan jaman nitapata dalali nataka chumba

    jaman....kweli nimevutiwa na jukwaa hili...kiukweli nataka kua mmoja wa wa family hii ili tuweze kubadirisha mawazo na kujengeana hojaaa mbalimbali za maisha.
  8. K

    Ndugu zangu wa Kike Huwa najiuliza Eti Kwanini...?

    lakin mi nafkiri kaka kuna mazingira ya kuachia mwili na yasiyo yakuachia mwili wazi...mfano upo club, swimming na maeneo mengne ya starehe za usiku...na ukiwa na mpenzi wako sion tatizo ....lkn km m2 ataamua from no where kukaa uchi atakua na intension yake piaa...may be yupo ktk makasino...
Back
Top Bottom