Search results

  1. N

    Kariakoo pako hovyo hapaeleweki kama sio soko kuu la nchi na majirani

    Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao. Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya...
  2. N

    NMB niwasumbufu kutoa mikopo

    Tanzania hii kuna shida sana taaasisi zake ni za hovyo kabisa. Unaomba mkopo wa boashara mara ya pili toka nmb kukupa tu ni tatizo ukiwauliza hawana majibu. Uneza kidhi vigezo vyote ila watumishi wake wanakuwekea urasimu usio na maana badirikeni la sivyo taasisi za nje zitatawala apa nchini...
  3. N

    Sakata la Feitoto linaenda kuwa sawa na la Morisson Yanga

    Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na wachezaji wetu. Fei juzi kachezea team ya visiwani hata kama friend match ila kavaa uzi mwekundu na...
  4. N

    Je, kila redio inaruhusiwa kupiga Wimbo wa Taifa?

    Tulipokua shule tulifundishwa kwamba wimbo wa taifa unapigwa tu pale kuna tukio maalumu. Sasa kuna kituo cha radio kila siku asubuhi kinapiga. Je, ni kila radio inaruhusiwa kufanya hivo
  5. N

    TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

    Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi. Mazishi yamefanyika leo tarehe 23 Februari kwao Rungwe. Apumzike salama
  6. N

    Nani karuhusu uharibifu wa misitu kwa hawa wafugaji

    Huku Katavi pori la Hifadhi ya Katavi. Kuna hawa wasukuma wanafuga na kulima. Ukianzia sitalike Kwenda kibaoni majimoto wamevamia katikati ya Mapori wamejenga na kukata miti kuandaa shamba. Upande wa kizi kuja mpaka lyamba nako wamevamia mapori misitu na kukata miti na kuanzisha mashamba...
  7. N

    Watunzeni na kuwalea vizuri mabinti, wanaharibikiwa

    Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba. Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo. Anakuomba hela kila dakika ili mradi una mawasiliano nae. Sio hela ya vocha kusuka, simu, kodi, nguo...
  8. N

    Uchaguzi 2020 CHADEMA jipangeni kwenye kuandaa mikutano

    Nimeshangaa na kukurupuka kwa chama hiki kuandaa mkutano wa leo Zackem, Mbagala. Maandalizi mabovu watu wa Dar wanahitaji uwaandae uwape muda wakuweke kwenye ratiba. Dar sio mkoani au wilayani ambako watu wanaweza kusanyika kirahisi kwa muda mfupi. Hili tukio lilipaswa liwe maalumu kwa siku...
  9. N

    Jinsi wakimataifa wanavyowahujumu wa matopeni

    Hawa wakimataifa baada kukosa pesa mfadhili wao namba moja kuwaacha Upande wa pili kule matopeni kukawa pesa nyingi ambazo zipo mpaka sasa. Sasa wakimataifa wakawa wanatafta wachezaji wazuri wamatopeni wakitajwa wachezaji hao walikua wanawachukua tumeona kagera nyoni boko dilunga na wengi...
  10. N

    Yanga acheni kulalamika

    Mimi ni mwana yanga . Ila nasikitika viongozi benchi la ufundi wamekalia kulalamika kuonewa. 1. Yanga mechi ya kmc waliwaacha vijana wa zanzibar bila sababu yoyote hatimae tukambulia droo. Jana team imekuja mbeya ipo robo kiasi kwamba hata sabu wameshindwa kufanya kupata plan b wachezaji...
  11. N

    Ile video inayosambaa ni ya team yangu kweli

    Nimeona video ya kutisha nimeshindwa kuifyonza na kuiweka apa ni viongozi wa team yangu ikimwaga vitu vyumbani huku ikiwa na viongozi wangu Tele. Badae wakaingia wachezaji niliwaona ni team yangu . Je ile ni video ya team yangu kweli au ya kutengeneza kuichafua team.
  12. N

    Tuliambiwa tunanzia kwenye makundi inakwaje tulianzia mtoano

    Tukiwa tumehakikishiwa tunanzia makundi champions league ya Africa. Sisi wekundu tukasajili wachezaji mafundi wenye uzoefu gafla tukanzia mtoano kwa kukosa wachezaji wenye uzoefu na team ndogo kama ya wamakonde tukatolewa. Je tulihujumiwa au tulidanganywa na kwanini aliamua kutudanganya...
  13. N

    Ni lini tutafuta na kumaliza kabisa maumivu ya ud songo

    Mimi kama mwanasimba halisi. Nilivyoona simba yangu msimu uliopita ikifanya vizuri na usajili iliofanya mwaka huu nikajua tutakua mabingwa wa Africa. Kwa bahati mbaya ud songo wamakonde wakatutoa round ya kwanza. Basi nililia sana bado hasira haziishi yanga alifungwa na jkt ruvu nikashangilia...
  14. N

    Mh Ronaldo hizi sifa sasa CR7

    Huyu MTU siji kumuona kama yeye katika historia
  15. N

    Ligi Kuu tar 18/04/ 2015: Mbeya City vs Simba

    Leo ndio Leo hapa mbeya . Mbeya city ikitaka kujiahakikishia inabaki ligi kuu Mbele ya mteja wake Wa Siku zote Simba itamenyana vikali apa Sokoine. Simba ikitaka kushika nafasi ya Pili ligi kuu na kupata nafasi ya uwakilishi je itafuta uteja wake kwa Mbeya city. Karibu tuungane badae sokoine...
  16. N

    Jiji la mbeya hamtutendei haki

    Sisi ni wafanya biashara wa kabwe. Tupo njia ya kuelekea airport kupitia kanisara lutheran. Tumesikitishwa sana na maamuzi mliofanya ya kutuletea wamachinga mbele ya maduka yetu. nao wamejenga maduka mbele ya maduka yetu. tunalipia kodi kubwa kwa chumba zaidi ya 350000 kwa mwezi. tunalipia...
  17. N

    Nimejiandikisha kupiga kura Serikari za mitaa

    Nimefrai sana kuona nimepata fursa ya kupiga kura naahidi kukusanya vijana wengi mtaani walio na sifa ya kupiga kura wajiandikishe. Nitahakikisha napata vijana wasiopungua 30 ili nishirikiane nao kuyaangamiza magamba. Tuikatae ccm kwa matendo sio maneno. Uandikishwaji huu unamapungufu...
  18. N

    Natafuta soko la kabichi

    Mimi ni kijana niliejiriwa. Tena ni mjasiriamali. Mwezi Wa kwanza nilianza process za kulima Kabechi hadi kufika Sasa zimekomaa shambani sina mnunuzi. Nina eneo la ekari moja hapa Mbeya eneo la iwalanje kilomita 5 tu toka jijini Mbeya. Atakae vutiwa na hii biashara tuwasiliane. Bei nafuu sana
  19. N

    ngonga kijiji cha kizuri na raha

    Ngonga ni kata inayopatikanika kyela. IPO pwani ya ziwa Nyasa. Kuna beach nzuri Mpya inaitwa Ngonga beach resort, nakwambia sahau kuhusu matema beach mambo yapo uku. APA utakula raha zote kwenye beach saafi. Hapa kuna gulio lililovuma sana miaka ya 90. Lilikua linaudumia mpaka nchi Jiran...
  20. N

    Benchi la ufundi la Simba kuingia uwanjani na kumzingira refa sheria inasemaje??

    Juzi jumamosi nilikuepo sokoine kushuhudia pambano la mbeya city na simba. Filimbi ya mapumziko refa alivopuliza kipenga cha mapunziko, gafla bench la ufundi la simba na wachezaji walingia uwanjani na kumzingira refa, huku wakimnyoeshea vidole kama wanamsuta, watu hawa waliongozwa na kocha...
Back
Top Bottom