Search results

  1. Hagga

    Kwangua hapa

    Huyo ni atakuwa mwanaasha
  2. Hagga

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Akatanyukwile tiikoma!
  3. Hagga

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Siku nyingi nimesahau hizi nyimbo lakini pata kipande. Mawe Maria oli byela bwaitu, Omwigulu na mahanga gona, Nitukuramya nyineichwe omurungi, Nebwela bingi,otuhulile Nitumanya okwoli muzaile Omwigulu batuganyile Mawe. NA HIYO Mwana wange ninye Yezu, Ninye balya Omu-karistia...
  4. Hagga

    maswali na majibu je ni sahihi ?

    Hiyo ndoa nadhani wanaishi kama wacheza sinema!!
  5. Hagga

    Majibu mengine bwana......

    Hii balaa tupu!!
  6. Hagga

    Ajali mpirani

    Maumivu ya kichwa huanza taratibu.
  7. Hagga

    Mlio wahi kudate na wasichana wa facebook,naomben ushaur kwa hili.

    Raha ya uzinzi usishirikishe watu,wewe take risk,time will tell.Tegemea anaweza kuwa mzuri ukafaidi,pia anaweza kutega ukanawa kabla hujala UKALIWA.tunza siri.
  8. Hagga

    Anataka to do kabla ya ndoa.

    Asijaribu ku-do kabla ya ndoa ila binti aking'ang'ania wewe niunganishe na huyo bi harusi nilale naye kabla ya harusi,hii ni ktk kumsaidia bw harusi asitende dhambi kulingana na imani yake.
  9. Hagga

    Nchi iko vitani, Tanzania bila misaada ni bure

    Labda si lugha nzuri lakini nasikitika kusema kwamba tumekuwa na viongozi walevi, walevi wa madaraka mfano wa mfalme Luis XVI.Wafaransa walipogundua hilo walifanya lililositahili, mfalme na malkia waliondolewa na adhabu yao ilikuwa ni kukatwa vichwa. Miaka 50 iliyopita the Asian Tigers...
  10. Hagga

    Ipi kati ya taasisi hizi inatumika sana kwa niaba ya CCM?

    Zote hizo isipokuwa baraza la maaskofu, hapa namaanisha [TEC].
  11. Hagga

    JK ndio tatizo!

    Kumuua mwakyembe ni njia salama zaidi kwa JK maana ndo mwenye siri ya Richmond! Kosa la kamanda mwakyembe ni kukubali kukata kile kipande kinachomhusisha JK. kwa kawaida majasusi wakikutuma uume mtu waliyemlenga pia huwa wanandaa mtu akuue wewe haraka iwezekanavyo ili kupoteza ushahidi...
  12. Hagga

    Kama una hamu ya kutukanwa :

    Ukiona mke wako hajui matusi, mfundishe kuendesha gari kisha mruhusu aende mjini.Akirudi atakuwa na furushi la matusi ; hii ina maana MADEREVA walio wengi wanaongoza kwa matusi.
  13. Hagga

    Nalililia kaburi la Kiyeyeu

    Nchi na watu wake waliofilisika kimawazo hutegemea zaidi miujiza kujiletea maendeleo.Sikuona ajabu watu wengi kumiminikia Loliondo kipindi kile.Sitaki kugusa imani ya mtu, ila hata yaha makanisa yanayo-mea kama uyoga ni dalili ya kutafuta miujiza badala ya kutumia akili na maarifa tuliyopewa na...
  14. Hagga

    Saluni inaweza kukuharibia pendo ati. . .

    Napenda kuamini kwamba mambo ya kukosa uaminifu na tabia ya uzininzi haikuanza leo wala jana, ni jambo la zamani sana.Haina haja kupoteza muda mwingi kujadili kwamba watu wanafanya uzinzi.Ninavyofahamu nchi nyingi hata Tanzania umalaya ni jambo la kawaida sema tunajaribu kufanya siri, leo hii...
  15. Hagga

    Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    Kwenye hili kama JK kweli atalisimamia na kuhakikisha marekebisho yanafanyika, itakuwa ni njia bora ya kuanza kurekebisha makosa yake.Ingawaje hili tu halitoshi ila ni mwanzo mzuri, wanyime posho hao wabunge na sheria kuhusiana na katiba irekebishwe.Pia kamata wezi wote wa mali zetu, tumia LIST...
  16. Hagga

    Mtoto wa rais wa kenya ananipenda

    Hongera mkuu kwa kupendwa na mtoto wa raisi; big up! Naamini kwa umaarufu wako si muda mrefu utapendwa pia na raila odinga baadaye kibaki mwenyewe.Baada ya kenya haikosi utapata mwaliko ukatoe penzi Uingereza kwa David Cameroon.
  17. Hagga

    Walikuwa ni wauaji wadogo wa Kishetani.........!

    Hadithi ni nzuri sana, urefu si hoja maana inavutia sana hata ingekuwa kurasa mia bado kama unavutia ntaendelea kusoma bila kuchoka.
  18. Hagga

    Tukumbushane hizi hoja zimeishaje?!

    Ukiona kimya jua kuna mkono wa wakubwa hapo
  19. Hagga

    Nb

    Marehemu alianza hivyo.
  20. Hagga

    Kwa watu wa kilimanjaro....

    Ni mazoea tu, hata watu wa kagera husema naenda Bukoba.
Back
Top Bottom