Search results

  1. C

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Inawezekana Litakuwa tukio la bahati mbaya tu kwani aliingia kwenye mtego wa kuwanasa majambazi kama walivyomkosa kumnasa yule afisa uhamiaji?? R.I.P MWANGOSI
  2. C

    KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

    Kova, Ponda, Radio imani,JK, Mwema wote hawa lao MOJA
  3. C

    Kamanda Kamuhunda awageuka wakubwa...

    ni mjinga wa kutupwa
  4. C

    Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

    KKKT lina mpango 2015 RAIS awe MKKKT kwani tangu tupate UHURU hatujawahi kuwa na RAIS MKKKT. Wanamwandaa lowasa 2015,hivyo sishangai kauli zake.
  5. C

    Waliosikia kutukanwa Batilda washinda kesi bila alietukanwa kushitaki - imetokea Tanganyika

    Hukumu imetoka ikulu hapa jaji kaisoma tu kama asante ya KUPEWA UJAJI. AIBU KWAKE YEYE BINAFSI NA TAALUMA YA SHERIA NCHINI
  6. C

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Sijui kwanini hamkumtuma Dr Slaa wa ukweli kumwakilisha.....! hakujua u-Dr wake alipewa tu?
  7. C

    WITO:Kamati za Bunge zisitishe vikao mara moja -kutokana na mgomo wa Madaktari.

    Hivi hawa IQ zipo level gani?? walipiga kelele kupanda nauli 200/= tu..hooooo sijiu kigamboni kuna wakwe zetu haiwezekani nauli ipande, suji tutaandamana na white cap, sijui nauli ikipanda tutawamis totoz wa kigamboni.... daaaaaaa! Kumbe hakuna lolote.. unafiki nafiki wa kiswahili tu. Sasa...
  8. C

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Kama kusema watanzania wameshasema sana,stil huyu ****** haelewi,wala hataki haka katabia ka kuombaomba. Inawezekana ni hob yake..............................................! Hivi huwa anaanzaje kuomba.... hooo my country is very poor, so please white help me dollars,pound,yen and in return...
  9. C

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    Ni kweli Kanchi, wapo ambao yamewakuta tayari. Kuna mmoja yupo Sabastian Kolowa as tutorial assistance alimaliza hiki chuo LLB,then aakunga MBA hapo hapo tumaini. Yaliyomkuta huko kazini anayajua mwenyewe. Sasa anasoma LLM st augustine. Mimi ni mwanafunzi hapa tumaini iringa,huwa najiuliza...
  10. C

    Wanafunzi wa kiislam na Haki ya Kuabudu

    Na pale muslim university-morogoro na penyewe pajengwe msikiti. hawa jamaa wana agenda ya siri tangu enzi za mwinyi. Ni wabaguzi hakuna mfano.
  11. C

    Tumaini university Iringa kimesajiliwa na nani?

    :bange::bange::bange:Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu Tumaini University-Iringa,fani ya BBA(Human resource). Ukweli inasikitisha sana na inaumiza sana tunayotendewa sisi wanafunzi. Angalia mifano hii michache. 1. Kuna wanafunzi 18 kwa idadi wameshindwa kumaliza chuo mwaka jana baada ya...
Back
Top Bottom