Search results

  1. M

    Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Ni Kiongozi aliye onyesha kutokuwa Na weledi katika matumizi ya rasilimali Na ofisi za umma ndani ya muda mfupi toka ashike nafasi hiyo.
  2. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Changamoto kubwa kwa upande wa ufugaji wa Kuku wa kienyeji ni jinsi ya kupambana na magonjwa hasa kwa vifanga. Inabidi ujifunze na upate ushauri wa kitaalamu katika eneo hili.
  3. M

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    To ALL DEMOCRATIC ACTIVISTS : THIS IS A TYPICAL TERRORISM DONE TO INNOCENT CIVILIANS. Terrorist acts result in destruction. The effects are more extensive than just physical damage and include diverse collateral consequences. Terrorism works because of the psychological effects that can...
  4. M

    Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Huu ndio ubabaishaji. Inavyoonekana wapelelezi wanajichanganya, kila kukicha wanajitahidi kupaka paka rangi lakini nyumba ni ile ile mbovu!!. Kwanza tujiulize sheria hii ya ugaidi ni mpya hata hakimu wa kwanza alijichanganya kwa kuwauliza watuhumiwa kukubali kosa au la wakati mahakama hiyo...
  5. M

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    Hakuna shaka kwamba zanzibar ina waislamu wengi kuliko wakristo. Mpango wa kuangamiza ukristo zanzibar umeanza siku nyingi kwa kusimamiwa na serikali ya mapinduzi zanzibar. Mfano, wakati wa mfungo wa ramadhani wakristo hawaruhusiwi hata kula karanga hadharani na serikali ya huko inalisimamia...
  6. M

    Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

    TBC Tv ya wajinga - imeripoti DHAIFU atahutubia leo J'pili usiku. Je utaacha kuangalia Italy na Spain umsikilize mpaka PODA?
  7. M

    Pinda atasemaje leo Bungeni ?

    Atakachosema:- 1. Viongozi wote au vinara wa mgomo wa madaktari serikali inawasimamisha kazi. 2. Serikali itaagiza madaktari kutoka nchi marafiki kama China na Cuba ili kufidia pengo la Madaktari Na mwisho atatoa machozi ili kuonyesha unafiki kwa yale yaliyotokea kwa Dr. Ulimboka. MUHIMU...
  8. M

    Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

    Huyu Pinda Amepinda na kauli zake! Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa! By Mpendamabadiliko
  9. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Sijaona jipya katika mkutano huu zaidi ya mipasho na kuangalia nani kavaa tenge zuri la kijani, shati gani la kijani na njano. Hakuna sera zozote zaidi ya kuonyesha CCM ina hofu kubwa na Chadema!
  10. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Magamba achen propaganda, Mmechapisha kadi za Chadema mkiwadangaya wananchi kuwa wamerudisha kadi. Kweli Magamba ni wasanii tosha! Mmeishiwa sera.
  11. M

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    Cuf mnataka kuhamishia sera za 'uamsho' arusha nadhani mjipange nyie ni ccm b
  12. M

    Nape na kauli za"kinyago kisichomtisha mchongaji"

    Nape huo ni ulevi wa machana kweupe! CCM ina wanachama ml.6. Watanzania tupo takribani ml.40. Je wanachama wote wa vyama vya upinzani wametoka CCM? Nina wasiwasi kama nape alikuwa anafanya vizuri darasani hasa katika somo la hesabu!
  13. M

    CCM nao kufanya Mkutano Jangwani jijini Dar Jumamosi hii 09-June-2012.....

    Baada ya miaka 50 ya uhuru MWENENDO (TREND) WA CCM YAMEFIKIA HAPA:- 1. Ubunifu -0% 2. Upeo - 0% 3. Upembuzi wa mambo 0% 4. Uongozi na Madaraka kwa Umma 0% 5. Ufisadi na uporaji wa mali za umma- 100% 6. Kujuana na kubebana katika huduma na uchaguzi 100% 7. Kudanganya wananchi kuhusu maisha yao...
  14. M

    Kumbe uniform moja ya staff wa atcl ni sh. 4.6 mil

    Dr. Mwakyembe ulichofanya sio maamuzi magumu kama yanayosemwa na Ex- prime minister (Lowasa). Bali ni maamuzi SAHIHI kwa WAKATI MUAFAKA. Huu sio wakati watu kubebana. Ninachokuomba Dr. Mwakyembe nenda mguu na njia hadi Mamlaka ya Bandari utakuta madudu ama sio uchafu na ufisadi ulivyojaa...
  15. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Hello, Hili nalo tulipiganie! Kabla ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kuanzishwa, Wananchi wavuja jasho waliokuwa wananchama wa CCM na wasiokuwa na chama walichangishwa pesa kwa lazima ili kujenga viwanja vya michezo kama CCM Kiruma, Mirambo Tabora na baadhi ya majengo aambayo kwa sasa...
Back
Top Bottom