Search results

  1. W

    Kwa anayefahamu insignia-rank za askari wetu atushirikishe

    ngoja waje maafande bado wanapiga rigwaride Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  2. W

    Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

    Mzee warioba alikuwa anafafanuwa vizuri kabisa katiba ata mimi nisiyekuwa najuwa kilichoandika ktk katiba nilianza kutambuwa uwozo wa hiyo katiba pendekezwa. Sasa kumbe hata UKAWA wana haki kutoka bungeni. Huyo Sita si mzalendo anapenda uongozi tu kazi kubebwa bebwa Sent from my BlackBerry...
  3. W

    M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

    Kifo cha Major Mshindo kiwe chachu na kasi ya ukombozi na amani wa mji wa Goma. M23 hawana rorote kwa JWTZ Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  4. W

    M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

    R.I.P Maj Sk Mshindo Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  5. W

    Hdd masaada

    thanks mkuu, mambo yamekuwa poa kbs
  6. W

    Hdd masaada

    Wakuu habari za muda huu tena, Naombeni msaada wadau, Nina external ya 1TB nime weka data, ila toka week iliyopita nikifungua data hazionekani, nikicheck ukubwa yani disk space used ni 458 MB, na nikscan virus kwa kaspersky 2012 naona inascan folder hambazo hazionekani. Naomba msaada...
  7. W

    Msiba wa Mama Lucy Samila wa Ikulu ya Arusha

    Namfahamu vizuri huyo mama alikuwa ikulu toka awamu ya kwanza ya mzee nyerere 1979. R I P Mama Lucy
  8. W

    naye mtamu

    Wala nyama zipo ila ya chatu ni tamu ni pm unipe contact nikuletee kipande cha kuonja kama upo dar
  9. W

    naye mtamu

    Ninyama kama nyama nyingine na siku ukionja wewe sizani kama huta hacha kula
  10. W

    naye mtamu

    Mnyama huyu ni mtamu sana kama kuku au ktm wanaotumi tumewafaidi sana maeneo ya bagamoyo na wami
  11. W

    Ushamba: Simu za Gharama

    pocket technology, ndiyo wakati wake huu, sasa we tangatanga na nokia yako ya tochi tu, simu inapunguza ata mizigo ya kubeba kama document na weka ktk simu tu
  12. W

    SUGU anafanya nini hapa?

    ana saluti kashika vitu vingine! na kapinda, huwo si ukamanda ni kuiga vitu hasivyovijuwa
  13. W

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    labda alikuwa anabaka, mtoto katika kujitetea akamsukuma
  14. W

    Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

    kaka naomba pia na mimi hayo maelezo.
  15. W

    maumivu

    naombeni msaada nina mpenzi pata miaka mitano sasa, ila kila tukiduu napata maumivu makali baada ya kumaliza paka kesho yake nakunywa dawa za maumivu, ila kunastaili akiniweka ndiyo naumwa siku tatu, kifo cha mende sipati tatizo ila hizo stail zake ndizo zinanisababishia maumivu sana na pia...
  16. W

    Naombeni Msaada wakuu

    kaka printer ina detect na inasema cartridge nilizoweka ni Guinea, ila inaprint black tu. Inatumia Cartridge nne.
  17. W

    Naombeni Msaada wakuu

    Printer yangu ni Hp color laser jet 1600, mwanzo ilikuwa inaprint quality nzuri sana, ila toka nimebadili Ink inaprint Black tu color haiprint kabisa nimebadili wino mpya na original imegoma, naombeni msaada nifanyeje?
  18. W

    Jokes Mix

    babu atafute juice ya tende
Back
Top Bottom