Search results

  1. sikajiji

    Godbless Lema: Waislamu teteeni mtu kwa sababu ya haki, msitetee mtu kwa sababu ya dini

    kama CCM ni katoliki chadema ni ya kanisa gani?Kwa mujibu wa lema kama ccm imeshindwa ukatoliki umeshindwa pia
  2. sikajiji

    Godbless Lema: Waislamu teteeni mtu kwa sababu ya haki, msitetee mtu kwa sababu ya dini

    Bila shaka kuna wanachama wa chaga deleopment manifesto (CHADEMA) ambao ni waislam nao wajinga vilevile. N wakiristo wana akili hata walioko CCM. This is the kind of thing
  3. sikajiji

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Humjui Prof Mlacha wewe. Alikuwa Mkabila zaidi kuliko Udini unaofikiria kwa udini wako. Na ndiyo maana Prof Msoffe yupo pale alipo kuendeleza Ukabila huo.
  4. sikajiji

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Mlidhani kwa madhehebu haya mna haki ya kudai kila mmoja eneo la kujenga kanisa katika kila chuo kikuu cha Dodoma. Eti eka kumi hazitoshi ! Kwa hili, Mh. Magufuli rais amenena iliyo sawa na UDSM is the best model.
  5. sikajiji

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Ama kweli nyani haone kundule, kwa takwimu walipokuwepo hao waliohamishwa UDOM ilionekana kuna udini (chuo cha waislam merely allegations). Leo wamehamishwa zimeletwa takwimu inadaiwa inaonekana ni udini kuleta hoja za kuwepo wakiristo wengi. Hivi UDINI hasa ni nini? kuwepo kwa waislam katika...
  6. sikajiji

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Hivi kuzalisha maana yake nini? Askari (polisi, jeshi, nk) wanazalisha nini? Walimu (nursery hadi chuo kikuu) wanazalisha nini? Huduma wanayotoa haitoshi kukidhi haja ya kupata stahiki zao? Hivi ni kweli mshahara unaongezwa au kupunguzwa kwa kigezo cha uzalishaji? Ni je wafanykai kwa ujumla wao...
  7. sikajiji

    Taarifa za Matumizi ya fedha UDOMASA

    soma attachment, inajieleza
  8. sikajiji

    Taarifa za Matumizi ya fedha UDOMASA

    Mbona wao ndiyo wanadai wamesimamia haki hapo, je wakipata ofisi kuu za umma hali itakuaje. Hili nalo jipu uchungu
  9. sikajiji

    Picha: Huddah ndani ya pozi tata

    Na bado mtaisoma namba
  10. sikajiji

    Picha: Huddah ndani ya pozi tata

    kwani tafsiri ya uchi ni nini? Hapo tayari yuko uchi ila si uchi wa mnyama
  11. sikajiji

    Taarifa za Matumizi ya fedha UDOMASA

    Hatimaye ukweli umeonekana
  12. sikajiji

    Sheikh Khalifa: Serikali iwapeleke mahakamani masheikh wa Zanzibar au iwaachie huru

    Ni namba gani ambayo wataisome wewe umeishaisoma?
  13. sikajiji

    Sheikh Khalifa: Serikali iwapeleke mahakamani masheikh wa Zanzibar au iwaachie huru

    kwa wanaomjua Khalifa Khamisi hawapati tabu.
  14. sikajiji

    Walimu wagoma, kisa mwenzao kuzabwa kofi darasani

    kakojoe ukalale wewe uliyenunuliwa bure
  15. sikajiji

    Walimu wagoma, kisa mwenzao kuzabwa kofi darasani

    na aliyepigwa je? unachapwa vibao halafu unakimbia huo si ndiyo ujinga. Naye angemchapa kibao ngoma droo
  16. sikajiji

    Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

    Uliuuliza yuko wapi kabla ya hapa
  17. sikajiji

    TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

    mwisho wa wiki, siku ni saba tu
Back
Top Bottom