Hii vita kwa niionavyo ngumu kuisha ila Russia udhaifu wake ashaujua na anaufanyia kazi.
Nchi za Ulaya kwa sasa zishaona umuhimu wa artillery, hivyo wafufue viwanda.
Russia atafufua viwanda vingi sana
Drone war itawaumiza akili wakubwa maana gharama kidogo ila utunguaji bei rahisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.