Search results

  1. G kubwaa...

    Kagera day ni balaa----this should be done for all mikoa..etc

    Haya majamaa hizo hela wanazipata wapi? Inawezekana WEZI au kama alivyosema Nesindiso hapo juu. MISIFA TU yawasumbua.
  2. G kubwaa...

    JK: Ningekuwa na virusi ningefanyaje?

    Du kumbe hata presidaa alikuwa anaogopa ..... Hapimi mtu hapa.
  3. G kubwaa...

    CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

    Tungekua Na Subira Tuangalie Ninia Kitatokea Kabla Ya Kuanza Lawama Zisizo Na Msingi. Kwani "after A Foolish Did Comes Remorse"
  4. G kubwaa...

    Huyu JK vipi???

    Huyu jamaa anatudanganya tu naye yumo ila hapo nnachokiona anawaambia wenzake wajifiche wasitambulike kirahisi. Naye inaelekea yumo. Kwanza atutajie mafisadi wa Benki Kuu.
  5. G kubwaa...

    Bill Cosby on meet the press jana asubuhi-video

    Huyu kweli kaishiwa sio vizuri namna hiyo wengine tunaangalia na watu wazima. Nilikua na mama mkwe wakati nafungua. Shen..@ type.
  6. G kubwaa...

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mwana hii kama ni kweli itakua bonge la soo, mi sina uhakika ila nitafanya uchunguzi ntakupatia jibu baada ya siku tatu.
Back
Top Bottom