Search results

  1. CIA mgumu

    Naomba kujua dawa ya kichomi

    Habari za usiku wa jf usiku huu mwenzenu nashindwa kulala naombeni dawa ya kichomi ni dawa gani unitumie Maana sijawahi umwa kichomi hivi
  2. CIA mgumu

    Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani. Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya...
  3. CIA mgumu

    Hodii Shinyanga

    Wenyeji wa mji huu nipo njiani kufika naomba kujua ni sehemu gani nzuri kulala na kushangaa shangaa mida ya jioni hivi, maeneo yasiyo na kilevi wala bar
  4. CIA mgumu

    Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  5. CIA mgumu

    Nipeni location nzuri ya kulala kwa Tarime Mjini

    Wakuu, habarini za Jioni humu ndani. Nipo njiani kulekea Tarime mjini naomba kupewa msaada wa hotel nzuri ya kupumzikia kwa budget ya Tsh.100,000/=kushuka chini yenye manthari mazuri ila kusiwe na bar humo ndani na palipotulia sana, now nipo maeneo ya nyumbani kwao na Kichele hapa. Kukiwa na...
  6. CIA mgumu

    Mwenye ujuzi na madini ya LITHIUM

    Kama kichwa cha habari hapo juu mwenye ujuzi na haya mdini soko lake likoje na mnunuaji pia ni nani na yanauzwa kwa tone au kg? Karibuni wenye ujuzi na kutoa darasa
  7. CIA mgumu

    Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu. Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
  8. CIA mgumu

    Depo mpya

    Habari za mda huu ndugu zangu, mchana huu nipo njiani kwenda Njombe kuangalia parachichi zangu, sasa nimepanda bus kutoka chuo cha police moshi na kuna vijana ndio wanaenda kuanza kazi. Ajabu ni kwamba vijana hawa wameanza majigambo hata kabla hawajafika kituo cha kazi , tumepita pale geti la...
  9. CIA mgumu

    Kilio cha madereva pale bandarini wanaosubiri kuchukua magari yaliyoingizwa nchini yakielekea nchi jirani

    Habarini wakubwa na wadogo humu ndani. Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha. Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji...
  10. CIA mgumu

    SoC02 Kijana mwenzangu wa Kitanzania jibiidishe katika kutafuta maarifa mwenyewe usisubiri kutafutiwa

    Shikamoni wakubwa na wadogo zangu habarini za mda huu. Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu kuwa "kijana mwenzangu wa kitanzania usisubiri kutafutiwa maarifa zaidi bila mwenyewe kuweka bidii katika kuongeza maarifa". Kwanza kabisa nataka kuongea na vijana ambao wamebahatika kusoma kozi za...
Back
Top Bottom