Search results

  1. supatolu

    FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

    Nusu fainali ya kwanza... Mabingwa watetezi Mlandege FC wametinga fainali ya Mapinduzi Cup baada ya kuitoa APR kwa mikwaju ya penati. FT: Mlandege FC 0-0 APR FC (Pen: 4-2)
  2. supatolu

    Tahadhari zipi za kuchukua unapoomba mtoto aliye chini ya miaka saba kutoka kwa mama yake na yakatokea mazingira kama haya?

    Heshima kwenu wakuu. Baada ya kuachana na mzazi mwenzangu, aling’ang’ania kuishi na mtoto wetu. Niliafiki na nikatengeneza utaratibu mzuri tu wa kumhudumia mtoto akiwa kwa mama yake. Wakati huo mzazi mwenzangu akiwa na duka dogo la nguo (nililokuwa nimemfungulia)pamoja na kijigrosary hapo kwao...
  3. supatolu

    Baba wa ubatizo wa mwanangu ana uhusiano wa kimapenzi na mama wa mwanangu. Navukaje hapa?

    Wakuu, mwaka 2016 nilifunga ndoa ya kiserikali. Ilinilazimu kufanya hivyo kutokana na uhalisia wa mazingira niliyokuwa naishi na mwenzi wangu huyo wakati huo. Mwaka 2019 mwezi Disemba tulifanikiwa kupata mtoto. Na ilipofika Januari 2021 tuliamua kumbatiza mtoto wetu. Kama kawaida ya imani yetu...
  4. supatolu

    Nimejiunga rasmi JF na mimi hatimaye

    Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kitambo. Na kiukweli nimejifunza mengi nimeburudika na nimeona umuhimu wa kushiriki kama member. Hatimaye leo nimefanikiwa . Naomba mnipokee wana JF hasa GTs. Mungu ibariki JF.
Back
Top Bottom