Search results

  1. F

    Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    MAE/WANRI NA KISHISHA
  2. F

    TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Hongera Mzee kingunge! ulionyesha njia kisiasa. Ulikuwa mkweli.
  3. F

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Uhai wa Mtu ni wa thamani. Tuheshimiane kama tunavyoheshimu nafsi zetu! Kitendo cha kumpiga risasi Rais wa Wanasheria wa Tanganyika ni kitendo kibaya sana cha kuwadharau wanasheria wote. Yaani wanasheria hawana maana yoyote! Kibaya zaidi ni kitendo cha kuambiwa waliompiga risasi kinyama...
  4. F

    Picha: Ifahamu North Korea hakika kwa picha hizi utabaki kinywa wazi

    Hao jamaa ni wagonvi sana. Kwao hakuna hata uhuru wa Kuabudu. Furaha yao ni ya kitambo tu, kisha wanakufa na roho na nafsi zao kwenda motoni.
  5. F

    Natafuta "IC" hii popote nchini Tanzania

    Wakuu natafuta IC ni spea kwa ajili ya Projector. Mtu yeyote aliyenayo au aliye na uhakika mahali inapopatikana naomba anijulishe. Ni TOP256YN, asanteni wakuu.
  6. F

    Laana katika ardhi ya Tanzania. Nani wa kuitoa?

    Ili Nchi itoke kwenye laana, Tanganyika kwanza lazima itambulike. TANGANYIKA+ZANZIBA+xy=TANZANIA
  7. F

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Hakuna alama isiyo na maana. Kwa Waislamu Nyota na Mwezi vinamaanisha kwamba mamlaka yao inatoka kwa mungu mwenye makao katika Anga Ya Pili kwenye Mwezi na Nyota. Kwa Wakristo Msalaba unamaanisha ukombozi kwa njia ya mateso; kwa Mkristo kupita katika vipindi vya mateso siyo jambo la ajabu...
  8. F

    Walaji wa chips mitaani!!

    Ukitaka kula chips, pika mwenyewe. Chips ni viazi mviringo tu baada ya kukaangwa kwenye mafuta.
  9. F

    Basi la Super Shem lagongana na basi dogo aina ya Hiace na kusababisha vifo vya watu 11

    Majanga haya makubwa yanayofululizana, yanatokana na Pepo la udhalimu kitaifa! Kama mtu, au Halmashauri, au Manispaa, au Chama, au Serikali kwa ujumla, anajua kwamba amedhulumu haki ya mtu mwingine, inampasa arudishe haki hiyo kwa mhusika! Haiwezekani pamoja na juhudi zote za Polisi kusimamia...
  10. F

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Bible, Edward Hughes, Lambert & Pure Mathematics.
  11. F

    Ukistaajabu ya mchina utaona ya mtanzania

    Ni kawaida tu. Acha kiswahili kienee ulimwenguni.
  12. F

    Yafahamu yafuatayo kuhusu meno ya mwanadamu

    Meno yanatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine. Wapo wengine memo yao ni marefu kiasi cha kutoka nje ya mdomo. Wengine meno yao ni mafupi sana, kiasi kwamba ukiwaangalia kwa haraka utafikiri ni vibogoyo. Pia wapo wengine wasioota meno vizuri.
  13. F

    Huku nako bondeni?

    Kwa hiyo unataka mlimani city ibomolewe? Dar yote haina bonde, tatizo kubwa ni miundo mbinu dhaifu.
  14. F

    Nimeiyona simu ya rais magufuli jamani !

    Mimi sijui.
  15. F

    Malumbano ya hoja ITV: Ahadi za Magufuli hazitekelezeki

    Ahadi za mgombea wa CCM hata zingekuwa nzuri kiasi gani, zitaharibiwa na katiba mbovu wanayoipendekeza. Ahadi zake hazitekelezeki ni ukweli ulio wazi.
Back
Top Bottom