Search results

  1. pandora

    Watanzania wafika Sayari ya Mars

    elmagnifico, you are very right mkuu...THIS IS TOTAL BULLSHIT ! hakuna kitu kama hiki bwana. swala la kwenda mars na ku-revolve around it, lingekua la kitaifa na glory kubwa sana kwa wamarekani na wasingeweza kwenda kimya kimya hivi hata siku moja tena wawapeleke watanzania! tuache masihara...
  2. pandora

    Swali la kizushi kwa Nyani Ngabu.

    NTIBA,kama nyani ngabu hawezekaniki, Kiranga tutasemaje?!!muache Nyani Ngabu aje tuone fujo humu ndani, kuna watu lazima watoke baruti tu.
  3. pandora

    Swali la kizushi kwa Nyani Ngabu.

    mkubwa hili swali linahusu agnostism na kiranga yeye ni atheist. halafu pia nyani ngabu ndo alosema yeye ni agnostic. kwahiyo hili swali lina mfiti kabisa.so let us wait and see what will come up next.
  4. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    mankind, tunachojaribu hapa nikujiuliza ni kwanini watu weusi always tuko nyuma kuliko wenzetu? hili ni swali muhimu sana kama kweli tuna nia ya kuwafikia wenzetu kimaendeleo. community zote wanazoishi watu weusi ziko nyuma kimaendeleo na zenye umaskini wa hali ya juu sana. nafikiri mtu mzima...
  5. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    kaka umesahau mpaka kung'oa viti na taps chooni na hata kuingiza idadi ya watu waliyozidi kiwango cha kiwanja chenyewe! sijui watu weusi tuna nini kweli?! mimi huwa najiuliza sana! halafu ukiangalia ni kila sehemu/ jamii ya mtu weusi iko shagalabagala tu.
  6. pandora

    unajua IQ ya mtu inatafutwaje?

    You are either below Mentally Impaired or above Very Superior or you are both as far as quantum mechanics is concerned!
  7. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    mambo mengi sana hapa umeyazungumzia nakubaliana na wewe ila hiyo ya kwenye bold katika rangi nyekundu hapana kabisa. kwa sababu katika post yangu ya kwanza kabisa katika hii thread nilisema kwamba SIAMINI MAMBO YA LAANA KABISA. nafikiri hili nilishalikataa tangu mwanzo. kwahiyo sikubaliani na...
  8. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    you don't have to say much. just a little will be enough!
  9. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    hii post yako nimeipenda sana hususani kipande hichi "Kumanage madini, bandari na kuua viwanda tunataka kusingizia vita kweli?". kwa hili kuna mtu atakwambia historia ya miaka 500 iliyopita ndo inatufanya sisi tuuwe viwanda!sasa sijui hapa inakuaje kwa kweli?! this is so sad!
  10. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    Then how come wenzetu wa-asia wamenyanyuka zaidi yetu wakati nao walikua-affected na hiyo mercantilism? mbona tuna nafasi nyingi sana za kubadilika na hatubadiliki? inawezekana vipi mwafrika wa karne ya 21 tena msomi anasaini mikataba mibovu kiholela akijua kabisa hivi hivi ndivyo mababu zetu...
  11. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    nashukuru sana kwa kuliona hilo. mara nyingi sana watu wamekua hawalizungumzii kwa ukweli wote hili jambo. wanasahau kabisa kwamba waharabu ndio walioanza kuifanya na pengine kuikuza hii biashara ya kishenzi ya utumwa hapa afrika na hawakuacha chochote cha maana hapa afrika zaidi ya dini yao tu...
  12. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    ishu sio afrika ilikua imeendelea au la. ukisema hivi ni kama vile unataka kujipa therapy fulani au unataka kutafuta pride by self consolaton ambayo haibadilishi maisha yetu kwa namna yoyote ile. tunachotaka sisi kuona afrika inaendela sasa! hata china ilikua imeendelea katika miaka elfu kadhaa...
  13. pandora

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    madameX sio kwamba watu weusi " they make themselves pay a price for being black somehow?"
  14. pandora

    Kwanini viumbe vingi vina macho?

    tatizo liko wapi? si mtazamo wake bana!
  15. pandora

    Kwanini viumbe vingi vina macho?

    H1N1 haya mambo ni magumu kweli. kazi mbona tunayo!
  16. pandora

    Kwanini viumbe vingi vina macho?

    hahahahahahha......mkuu hapa umenifurahisha sana! waafrika mbona kazi tunayo!
  17. pandora

    Aina kuu nne za watu

    hebu kaka rudi hapa utudadavulie hii kitu yako. maanake mimi hata sielewi kabisa una maana gani na haya maneno yako. maana yake mimi nimecheki kwenye dictionary naona yana maana ya kawaida tu. labda ungetuelezea kiundani zaidi unachotaka ku-portray hapa.
Back
Top Bottom