Search results

  1. N

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    mimi ni mmojawapo.nimemaliza hapo mba makambako brach now nasoma llm-udsm. Mba yao haina maana naona aibu. Nakumbuka kuna watu hawajawahi kuingia class, walilipa fee tu then wakapotea for 18 months, cha ajabu tulikuja kuwaona siku ya graduation, na hakuna hata mmoja aliyepata b plain. Naomba...
  2. N

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    Mh.Tiba kama ilivyo CCM na mafisadi wao, CDM na wanyonge wao, basi elewa Tumaini na wagalatia wao. Hi ndo tanzania bwana.
  3. N

    UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

    Na bado, huwa wanajifanya mavazi ya kijani hawa. Mmepitwa na wakati chipkizi wa chama
  4. N

    Ya Mzee Punch na Hill Siders - UDSM

    Muulizeni Alhaj Hassani Mwinyi habari za punch............... te te te te te punch ni noooma
  5. N

    Kwanini hili jambo ni la kisirisiri!???

    Kuhitimu ualimu maana yake ni kuhitimu mafunzo ya umaskini.Ndo maana ya kwenda BTP, sasa unalalamika nini? jikaze subiri mpaka 2015 mtapewa kazi ya kusimamia uchaguzi na NEC,ndo posho pekee ya ualimu. Hakikisheni CCM inashinda tena ili madai yetu yaendelee kuwa malimbikizo.
  6. N

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    Kama una ndugu yako BBA Tumaini iringa muulize hili. "KUNA BINTI MMOJA AMEHAMIA THIRD YEAR BBA-ACCOUNTING IT WAS LAST YEAR AKITOKEA CHUO CHA RUHENGERI -RWANDA. (reg. no 05/0691). FIRST SEMESTER HIYO HIYO THIRD YEAR AKAWA AMEDISCO, LAKINI SASA HIVI YUPO TENA THIRD YEAR BBA-HUMAN RESOURCE(reg no...
  7. N

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    Ndo mana yake. unadhani watapata wapi pesa ya kulipa staff wao, alafu karibia staff wote wanatoka dabaga kwa baba askofu...
  8. N

    Mba tumaini iringa inatia aibu

    tena ukiwa MKKKT unapata degree yako fasta bora ukumbuke sadaka yao kanisani
Back
Top Bottom