Mkuu, hili suala linaendelea kufanyiwa kazi. Kuna baadhi ya picha zinafunguka sasa, nyingine hazifunguki na tunaendelea kutafuta ufumbuzi kamili.
Tunaomba radhi na subira kutoka kwenu wanachama wetu.
Mimi naomba nikupongeze sana ladyfurahia kwa consistency uliyoonesha katika kumtakia Chachu Ombara heri ya siku ya kuzaliwa. Imekuwa kawaida yako ya miaka nenda rudi.
Hongereni sana kwa penzi zito.
Pembeni ya Logo ya JamiiForums kuna Logo ya JamiiCheck, jukwaa la uhakiki wa taarifa mbalimbali mtandaoni. Rangi za kwenye logo hiyo zina maana zifuatazo:-
1. Njano - Taarifa mpya inayosubiri kuhakikiwa
2. Kijani - Taarifa imehakikiwa na kukutwa na ukweli yaani “Fact”
3. Nyekundu - Taarifa...

Office Attendant ni zaidi ya mfanya usafi. Ni kazi muhimu inayohitaji wepesi wa kufikiri, skills za kufanya maamuzi kwa haraka na upevu wa akili. Vigezo hivi huwa vinapatikana kupitia uzoefu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.