Search results

  1. Sorrow to Joy

    Ni kwanini madaraja au ujenzi unaofanywa katika maji hufanywa usiku?

    Dehydration is very fast during the day and may cause rapid concrete setting which may ascertain the quality of concrete
  2. Sorrow to Joy

    Hivi wanaoipigia CCM kura ni watu wa aina gani?

    Tunajadili mustakabali wa Taifa la viazi vyetu vya leo na baadae. Ukiona hoja ya mwenzio haina mashiko usitukane bali ipinge kwa hoja ili aelewe aungane na wewe. Watu wengi wanadhani kuichukia CCM ni kuwa fundi wa matusi. IQ
  3. Sorrow to Joy

    Hivi wanaoipigia CCM kura ni watu wa aina gani?

    Huu mwaka ndo ulikuwa wa kukiangusha chama tawala lakini kwa kitendo cha kuchukua makapi ya ccm na kuyapa nafasi za juu kura yangu haitotumika kwa hili.
  4. Sorrow to Joy

    Hivi wanaoipigia CCM kura ni watu wa aina gani?

    Hatuna viongozi au mfumo wa kweli wa kutukomboa. Upinzani ulikuwa kimbilio lakini sana umedhoofu. Kitendo cha kuchukua makada wa chama tawala ndo waje wasaidie kuleta mabadiliko imedhihirisha kuwa hakuna dhamira ya kweli ya kuikomboa Tanzania. Mvinyo ule ule chupa tofauti. Kwishney
  5. Sorrow to Joy

    DSTV wapandisha bei

    Bora kuhamia Azam
  6. Sorrow to Joy

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Mwenye Marafiki anahusika na 400M
  7. Sorrow to Joy

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Unakumbuka Nyerere alikomtoa Mkapa? Walikuwepo pia walioamini ndo mwisho wa CCM. Unakumbuka Mkapa alikomtoa JK huku Sumaye akibwagwa? Walikuwepo pia walioamini kuwa ndo mwisho wa CCM. Basi na Premier Magufuli atatoboa na CCM itaendelea kuwepo. Wewe uliwekeza akili zako kwa Lowassa ukiambiwa...
  8. Sorrow to Joy

    Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    Mshahara na mbunge tu
  9. Sorrow to Joy

    Kila Mkuu wa Wilaya afanye haya, mtaona mabadiliko

    Kwa bajeti ipi? Kazi za umma watu hawakurupuki kutoka machakani. Kila kitu kina utaratibu. So wakurugenzi wasinunue madawa wakuchongee hizo mbao?
  10. Sorrow to Joy

    Majina ya vijiji vyetu

    MH!!!!!!
  11. Sorrow to Joy

    Majina ya vijiji vyetu

    Kongo kuna mtaa unaitwa Pumbu (Avenue Pumbu)
  12. Sorrow to Joy

    Majina ya vijiji vyetu

    Iborogero Igunga Tabora
  13. Sorrow to Joy

    Yaliyojiri Mahakamani: Kesi ya Kadawi Limbui dhidi ya Samson Mwigamba

    Vyombo vikao busy Dodoma vinaripoti matukio ya Lowassa
  14. Sorrow to Joy

    Majina ya vijiji vyetu

    Igangidung'u
  15. Sorrow to Joy

    Msafara wa boda boda toka Mbarali wavamia nyumbani kwa Lowassa, Dodoma

    Toyo 600 zimetoka Mbarali, Makambako, Mafinga, Iringa, Mtera, then Dodoma bila kuonwa na watu ktk maeneo hayo????????
  16. Sorrow to Joy

    Halima Mdee: 'Nimekula bata' rumande

    Amelishwa bata
Back
Top Bottom