Search results

  1. M

    Tume ya katiba na hoja tata kutoka kwa jamii

    Tukipewa Tanganyika yetu tutaanza kudaina kaskazini na kusini zetu bara na pwani zetu, tuwe makini
  2. M

    Utata wa ajira mpya za walimu

    Hata mimi niliajiriwa tena shinyanga ila sijaenda.hili linatokana na wizara kubase na data za chuo tu bila kucheki na data za utumishi
  3. M

    Ivi inawezeka ni Fitna kwa Mtoto wa Rais?

    Mbona munachanganya cheo,umaarufu na IQ.kila mtu anauwezo wake kiakili.Mwacheni bana, kwani inteligence ya nyerere amelithi nani ktk wanawe?
  4. M

    mafunzo mafupi kwa graduate kupata waalimu wengi haraka

    Ualimu ni zaidi ya maalifa(subject matter)so hilo unalosema lilisha fanyika(induction course)kwa fm6 leavers.ikaonekana kupingwa kila kona
  5. M

    Walimu acheni ujinga hebu nendeni sehemu mlizopangiwa.

    kujishaua kwa lipi.ebu fikiri mtu anatoka Ngala au BK(v) anapelekwa Ruvuma na pengine hali ya family yake ni duni sana kwa nini asiombe kubadilishana ili awe karibu na kwao
  6. M

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    thanx twiza.kama vp nieleze shule zilizopo center na za A level
  7. M

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    mi nina amini uchawi upo kila mahala.ata vatican au macca upo
  8. M

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    kulima sio issue mkuu ni part ya kutafuta maendeleo.sasa unauliza hali ya hewa itasaidia nini wakati huo2 unaniambia ni sisahau jembe how comes
  9. M

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    Ahsante sana mkuu.kwasasa nipo dar
  10. M

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    Wandugu mimi ni mwl nimepangwa kazi shinyanga mjini.Ninaomba nijulishwe mazingira ya huko eg hali ya hewa, huduma za jamii,na maisha kwa ujumla.
  11. M

    Mwl Aliye Tayari kuhama

    Je upo tayari kwenda mtwara vijijini?
  12. M

    Wenyeji wa iramba-singida

    Mimi nimepangwa shinyanga mjini natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka mkuranga bagamoyo au kibaha mjini. ukiwa tayari nitafute 0713794580 be serious
  13. M

    Shinyanga mjini jamani

    Natafuta mwalimu aliepangwa mkuranga,kibaha,bagamoyo,moro town au dar,ambae anataka kwenda shy town.
  14. M

    Hodiii !!!

    Nawaomba munipokee kwenye hii community
Back
Top Bottom