Search results

  1. isasuna

    Dotto Bulendu: Waliojiuzulu ubunge kuunga mkono Rais, leo hao hao wanaomba kufanya kazi ile ile

    Nadhani bahati mbaya wote wanadai kumuunga mkono rais hawakusema wanataka kumuunga mkono namna gani baada ya kuachia nafasi zao. Kinyume na hapo wangesema tu wanataka wawe wabunge na madiwani wa chama tawala na sio kumuunga mkono rais.
  2. isasuna

    TIGO PESA

    Hata mi nahitaji kama kuna nyingine niunganishie
  3. isasuna

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante kwa elimu. Sasa utajuaje kama wapo regulated?
  4. isasuna

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu asante sana naomba kuwa kwenye first 300 batch . No. 0754479420
  5. isasuna

    Difficulties in Conducting Background Checks.

    Due to ethical issues in our Society, most of the organizations around the globe now days prefer conducting background checks for their new recruits or prospects. Te task may be conducted internally or outsourced. When outsourced, the consultants do it for certain amount of payment according to...
  6. isasuna

    Frauds and Labour Disputes experts

    Fraud is not a new terminology in this era of science and technology. It is everywhere! Though it takes many forms, but the simple definition says that “Fraud is a deliberately deception for personal or financial gain”. We have witnessed many organizations suffer losses due to fraud in each...
  7. isasuna

    Michelle Obama anaondoka kwa kutuachia picha murua kabisa

    Wazungu sio watu wazuri, we unafikiri mpaka trump kuomba kuona cheti cha kuzaliwa cha Obama kama kweli alizaliwa marekani unadhani ni kawaida. Jamaa alipooneshwa akaendelea kutaka aone na vyeti vyake vya shule! Kwa ufupi ni kwamba walikua shocked hizo color kuwa white house!
  8. isasuna

    Michelle Obama anaondoka kwa kutuachia picha murua kabisa

    Waongo hao, ni fiction kutaka kumshusha lakini walishindwa!
  9. isasuna

    Baraka da prince amtukana Msami

    Wanaume wa dar waoga hawawezi kumchapa! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  10. isasuna

    Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

    Naomba ufafanuzi katika ELRA 2004 kifungu cha 40 (1) &(2) kuhusu unfair termination. Compensation inayozungumziwa kifungu cha (2) ni miezi 12 tu au pamoja na mshahara yako tangia unafukuzwa hadi hukumu? Manake wanasema is not substitute to any other amounts! Hizo other amount ni pamoja na...
  11. isasuna

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Mimi nachoona kinachoendelea sasa hivi ni siasa tu na sio ukweli. Ni muhimu wananchi tujue kuwa suala la ufisadi/ubadhirifu au fraud huwa inaandamana na concealment(uficho). Hii ndio sifa kuu ya Fraud yoyote ile duniani. Sasa hapa kilichotokea kinawezekana ni fraud, tena Grand Corruption...
  12. isasuna

    Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Inaonyesha jinsi gani unavyokifahamu kiswahili hadi kuna watu hapa umewaacha hawaelewi unachokisema! Big up!
  13. isasuna

    MOU iliyosainiwa Tarehe 26 Oktoba 2014 ni Sanda ya Marehemu UKAWA baada ya kifo chake

    Well said.. na cha kuongeza ni kwamba chabruma anashindwa kuelewa kuwa umoja huu ndio utakaoondoa hizo tofauti alizozitaja automatically kwa sababu sasa watazungumza kama wapinzani(UKAWA) na sio chadema wala cuf. Akumbuke hata Nyerere alisema kuwa ndani ya muungano kuna watanganyika na...
  14. isasuna

    Unemployment- vs- 419 advance fee fraud

    We all face the problem of unemployment in our countries. Fraudsters are taking the advantage to find how to defraud those who need jobs by creating fake job adverts online. These scams are all over the world and unfortunately as people are desperately need jobs, they easily caught in a trap...
  15. isasuna

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Big up Nguruvi3! simple and clear!
  16. isasuna

    Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

    Mambo ya imani ukiyachanganya na science jibu lake lazima liwe kama hayo yanayotolewa na GT wa hapa. lakini cha muhimu lazima ujue kuna mahala ambapo science inakoma na imani inaendelea.
  17. isasuna

    Nini maana ya hivi vifungu vya sheria?

    Salaaamu, Kuna vifungu vya sheria vinavyohusu Wajibu wa kila raia katika suala la Ulinzi na Usalama wa Taifa ambavyo huwa vinatutatiza wengi tu na mimi nikiwemo. Labda kwa leo niviweke hapa ili wanasheria na wasomi wengine watusaidie. Katiba ya sasa yaani hii ya mwaka 1977 sura ya kwanza...
  18. isasuna

    Rushwa ni janga la kitaifa na kimataifa!

    Nianze kwa kuwasalimu wote wanajukwaa, Natumaini kila mtu anajua nini maana ya rushwa na inafanyika vipi. Ila kwa kukumbushana tu kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa …. “Rushwa ni kitendo cha hiari au nguvu ambapo mtu hushawishi, hutoa au kupokea kitu cha thamani kwa ajili ya kuathiri maamuzi...
  19. isasuna

    Rushwa ni janga la kitaifa na kimataifa!

    RUSHWA NI JANGA LA KITAIFA NA KIMATAIFA! Nianze kwa kuwasalimu wote wanajukwaa, Natumaini kila mtu anajua nini maana ya rushwa na inafanyika vipi. Ila kwa kukumbushana tu kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa …. "Rushwa ni kitendo cha hiari au nguvu ambapo mtu hushawishi, hutoa au...
Back
Top Bottom