Search results

  1. S

    CHADEMA yawatahadharisha Uzini

    tarehe 12/02/2012.
  2. S

    Richmond kutikisa Bunge

    Suala la Richmond kurudi bungeni, naliona kwa mtazamo tofauti kidogo. Kwanza imelenga kumsafisha EL, Kwasababu zipo tetesi kuwa toka awali mama Makinda aliposhawishiwa na kundi la EL kugombea uspika, nia ilikuwa ni kumpata mtu atakayeirudisha Richmond bungeni ili sitta , mwakiyembe na kundi lao...
  3. S

    Steven Galinoma (aliyewahi kuwa Mbunge) afariki dunia

    Rest in peace Hon. Steven Galinoma. Utakumbukwa na wanakalenga kwa uamuzi wako wa kustaafu siasa mwaka 2010, tofauti na vinganganizi wengine.
  4. S

    Naomba hifadhi wanajamvi

    Kwa heshima kubwa kabisa amani iwe nanyi wote. Nimekuwa mwanafunzi wa jf kwa muda mrefu sasa. Nimejifunza mengi hapa jamvini nikaona mmenikomaza vya kutosha, mmeongeza uelewa wangu kwa kiasi kikubwa (hata kama sio 100%) na nimejiona sasa napaswa kuwa Great Thinker. Naomba hifadhi yenu wanajamvi..
Back
Top Bottom