Brother nina mashaka na nchi hiyo uliyoishi kwanza
Alafu kitu cha pili maana ya "wakili msomi" ni "Learned Counsel" ambalo ni professional name how the lawyers address each other...
Ukisikia kitu kifanyie research kwanza Brother
Watumishi wa Daudi na Daudi mwenyewe walimkuta Mfalme Suleiman amelala wakamwambia wamuue lakini Daudi alisema hawezi kunyoosha mkono wake dhidi ya Masihi wa Mungu 'mpakwa mafuta wa Mungu'
Jamani tuwe makini na watumishi wa Mungu kwa sababu Mungu huviadhibu vizazi mpaka cha nne cha wamchukizao
Hii nchi sasa hivi inaendeshwa kwa hisia..
Hii ni mbaya sana serikali inaogopa nn?
Ina maana mahakama za tanga hazina Jurisdiction ya kusikiliza hizi kesi za uchochezi?
Mbna hivi vitu inavyofanya serikali yetu inachekeaha
walikubaliana kwa misingi gani? hilo ndo swali la kujiuliza...
wao walikubaliana na kura ya maoni ya wengi.. eg. scotland but why sisi na wasomi wetu tunakataa maoni ya watz walio wengi na kukubali ya wachache huku bunge likivunja sheria waziwazi?
nijibu alaf tuendelee nkuelewshe
hebu angalia historia ya katiba zote ni katiba gani duniani iliyotungwa bila kuwa na pande mbili zinazopingana..... sheria ya mabadiliko inaruhusu bunge kupokea maoni mapya... soma kwanza
hii katiba haitofautiani na ya 1977 kwa sababu ilipitia kwenye NEC ndo ikaja kwenye bunge la katiba so draft iikuwa ya matakwa ya NEC so sishangai wakitaka kurudia yale ya mwaka1977 but kwa kiasi kikubwa kile kilichotakwa na wananchi hakijazingatiwa... ntaeleza maelezo baadae
Hebu wanajamvi tujiulize maswali Haya....
1. Je Hawa viongozi wetu wasio na uzàlendo hawajapitia jkt?
2. Je mfumo wa ulinzi wa nchi yetu utategemea these unqualified soldiers?
3. Je maadili ya vijana yanaweza kujengwa kwa kufundishwa matusi?
4. Je hakuna other alternative way tunaweza watumia...
hebu ongea kama mtu mzima kuna mtu aliewalazimisha kuendelea na muungano? Why nyie wazanzibar mnakuwa wabinafsi sana, hebu kua, hivi jf imekuwa ya vilaza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.