Search results

  1. Mbogo Junior

    Hii mechi ya Yanga inaitaji pombe kidogo

    Ukilewa ndio utapunguza hasira za kufungwa?
  2. Mbogo Junior

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Waislam wanaamini katika kupigania dini Kwa jasho na damu.
  3. Mbogo Junior

    Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

    Majanga, Mungu atusaidie.
  4. Mbogo Junior

    Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

    Itakuwa kawaida tu. Hata hivyo hawawezi kutoa tamko au waraka wowote. Hii inahitaji elimu zote kwa pamoja, elimu dunia na ahera. Wengine wana moja tu.
  5. Mbogo Junior

    Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

    Tunapongeza TEC kwa kujitambua na kutetea watanganyika bila woga. Mmetimiza jukumu lenu kama viongozi wa kidini kuhakikisha ustawi wa waumini wenu unalindwa kwa njia yoyote ile. Kuna watu wanasema siasa inachanganywa na dini. Mmejenga hospitali, hiyo ni dini? Mmejenga mashule , hiyo ni dini...
  6. Mbogo Junior

    Gharama za mobile banking zinatisha, ni ujambazi kwelikweli

    Hali ni mbaya sana sasa hivi. Makato yamezidi mno. Haya si maisha kabisa. Bora tuhamie kule tulikoambiwa.
  7. Mbogo Junior

    Rais Samia ni Mgeni Rasmi kwenye Kongamano la Kumtakia Kheri ya Siku ya Kuzaliwa. Lakini haya yote ya nini?

    Mungu atujalie hekima tuweze kutambua mambo mema ma haya yanayotuweka gizani.
  8. Mbogo Junior

    Maneno hapa kazi tu, yaondolewe kwenye ndege za ATCL

    Serikali ifute maneno ya "hapa kazi tu" kwenye ndege zetu na badala yake ziandikwe jumbe za kutangaza nchi yetu. Ndege yetu ikitua nje hakuna anaejua maana ya hiyo mineno. Hata kama ni safari za ndani ziwekwe jumbe nzuri na zenye kutangaza taifa letu. Hayo ni mawazo yangu.
  9. Mbogo Junior

    IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

    Ikulu Dodoma imefungwa?
  10. Mbogo Junior

    Sasa ni wakati Wamachinga wapewe maeneo rasmi ya kufanyia Biashara

    Hata Mwanza hali ni mbaya. Maeneo ya kupita watembea kwa miguu yamezibwa.
  11. Mbogo Junior

    Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

    Mpira ulikuwa mgumu sana. Hata hivyo Guinea wameonyesha uzoefu kwani timu nzima inacheza ina wachezaji wanaocheza nje hasa Spain. Timu yetu ilikosa umakini kipindi cha pili.
  12. Mbogo Junior

    Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

    Nyerere hakuwa madarakani wakati alipofariki.
Back
Top Bottom