Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini).
Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo...
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata
https://youtu.be/auOKnvgArZ8?si=N9EDTfFnNgqYzqQ6
Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa...
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano...
Wadau na nyie mmeona. Kuna ndege imeanguka ziwa Victoria.
===
Ndege Ndogo ya Abiria imeanguka na kuzama Ziwa Victoria. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamefika eneo la tukio na kutoa msaada kwa abiria walikuwamo kwenye ndege hiyo.
====
UPDATE
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA)...
Vanny Boy mtu mbadi kuwa makini..!!
Babalevo ni chawa na lichawa haliwezi kufanya jambo bila ruhusa ya Boss (Diamond)!
Tuanzie hapa!
Unakumbuka jinsi alivyokusumbua kufanya video ya ngoma ya 'Nitongoze'?
Kama unakumbuka umetoa Ngoma tu ya audio ya Nitongoze kesho yake akatoa audio ya...
Jiji la Dar lina watoto wazuri sana, ila kiukweli hapa mjini wanawake wazuri wanapatikana bar, na mara nyingi wahudumu wa bar husaidia hasa wenye uhitaji kuliko wanawake wengine.
Nendeni sehemu zote sijui Posta, Masaki..n.k lakini pini Jiji la Dar mademu wakali wapo bar.
Huu ni Ukweli, Tanzania na Africa hatuwezi kuidhibiti Korona tena, its too late.
Km tungewahi kufunga mipaka yetu mwezi Machi mwanzoni leo tungekuwa tunachelea tu na dhana ya kuchapa kazi ingekuwa sawia.
HatukufUNGA Mipaka Africa..Tena Tanzania ndiyo tumefunga juzi juzi...
Madhara yake?
Kuahirisha bunge hili la bajeti ni kuusogeza uchaguzi mbele na kuifanya serikali iliyopo madarakani kuendelee kutawala mpaka uchaguzi mpya.
Kwa maana hiyo bunge likiahirishwa maana yake hakuna uchaguzi na Magufuli ataendela kukaa madarakani hadi uchaguzi mwingine ambapo atagombee...
Maneno ya mwisho ya Mahiga kuhusu Korona na mambo mengine
USHAURI KORONA AMEUTOA KUANZIA Dakika ya 9:45
RIP DR. MAHIGA
Huu ushauri wangu kwako: mwaka 2020 utumie kujali afya na uwapendao, 2021 utatafuta pesa.
Stay home, nunua chakula cha kutosha.
Jonijo kaondoka nilijua lazima aondoke siku 1.
Pale Wasafi unachukua mshahara na huruhusiwi kuwa na YouTube channel, Jonijo alikuwa ana YouTube channel, sasa ameingia WASAFI akajua labda ataendeleza harakati zake akakutana don'ts nyingi ambazo hazipo kwenye Mkataba,. Times FM alipokuwepo Jonijo...
USA alianza kufanya figisu za kibiashara kwa bidhaa za china kwa kuweka kodi kubwa bidhaa km steel, electronics pamoja na kupiga propanganda na marufuku kwa simu za huawei Nchni USA. Wachina nao wamejibu bidhaa aina 168 zimeongezwa kodi kwa 25% zikiwemo bidhaa kilimo, nyama hasa hasa kitimoto...
Li nchi kubwa sana hili.. Ukifikirisha ubongo mengi tunayo yasikia hayapo kwenye uhalisia.
Kipindi Sokoine akiwa PM alikuwa na nguvu sana kuliko Nyerere..alikuwa maarufu sana na kipenzi cha watu kuliko Mzee wa butiama. Umaarufu wa nyerere ulishuka sana nchini na jina la sokoine tu..!
Sikio...
Sakata la Diamond, Je Shonza, Naibu waziri mdogo wa wasanii, Je anatumika na CloudsGroup/RUGE au ana uwezo mdogo? au yote.
Nakili, Baada ya kusikia uteuzi wa Bibiye shonza katka wizara hii nyeti kwa taifa nilitaka kuandika post jamii forum kwa kutoridhishwa na teuzi ya Shonza, niliacha...
Asante daimond kwa nyimbo hii kali sana..acha waendelee kubana mapimbi wale.
but hii age restricted iondoeni kwenye youtube siyo nzuri.
naona hii beat kijana Laizer hajausika hapa tafadhali sana Dada shonza kufungia miziki ya nyumbani alafu za kina beyonce mnaachia siyo acha vijana wapate mkate...
1:
Naandika hapa nikiwa na majonzi sana. Moyo umeumia sana kiukweli nimeghafirika sana. Mimi sina chama kabsa lakini ni mpiga kura mzuri sana. Leo moyo wangu umeumia sana na kiukweli nimekata tamaa na aina ya wanasiasa wanao tuongoza, japo sijapiga kura mm ni mpiga kura wa Kawe nakaaa bagamoyo...
Ukweli lazma usemwe tena kwa sauti kubwa. Kuuacha kuusema ukweli kwa kuhofia eti utamuudhi mwenzako siyo jambo zuri. Alisemaga Pinda Zanzibar siyo Nchi wakamshambulia sana. Leo Kabudi katuambia ukweli na kaenda mbali siyo NCHI tu Bali hata mkubwa ni mmoja tu..(mukubwa ni mumoya tu)
Nkumbuka...
Rwanda ni Nchi ndogo sana kwa Tanzania.
Of- course Kagame is smart but siyo extent hiyo. Kagame hawezi kuingilia siasa za Tanzania hata kwa asilimia 1%. Kuna watu wanadhani Kagame anaushawishi kwa regime hii mnapotoka sana. Acheni siasa za kitoto eti mzee walinzi wake ni wanatoka Rwanda. Kagame...
Kuna dalili naanza kuziona mitandaoni kuhusu uzanzibar wa bwana Mwalimu na kugombea Kinondoni. Tafadhali sana kampeni zenu zisiuchafue Muungano wetu. Tafadhali chama chochote cha siasa kisikisimange chama kingine eti kumsimamishe mzanzibara...!! Kampeni zenu ziwe za kistaarabu zisiuguse Muungano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.