Search results

  1. C

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    🤣🤣
  2. C

    hapa siingizwi mjini kweli machale tupu yananicheza...

    namimi pia nimetumiwa hiyo msg,lakini nafikiri ni utapeli, Nafahamu hizi test huwa zipo na nilishawahi kufanya kwenye shilika moja, lakini sikutakiwa kulipa wala kukomunicate na hao invigilators bali hilo shirika waliarrange procedure zote mimi nikapewa password tu kwaajili ya kufanya hiyo...
  3. C

    Tunaita sanaa

    ameeen
  4. C

    Msaada wa haraka wa jamani niko njia panda!

    hao watakuwa panya.pia unapolala usizime taa, ili ujipunguzie uoga, na ukisikia anatafuna amka uangalie, jiamini na umuamini mungu wako huwezi kudhurika kirahisi.
  5. C

    Am soooo tired of being lonely

    mdada, ni kwamba hutongozwi kabisa au unatongozwa na watu ambao sio type yako, au unawahisi ni matapali wa mapenzi ndiomana unashindwa kuwapa nafasi?
  6. C

    Changamoto za uke wenza

    Maisha ya ukewenza, sio maisha bali bp. hata siku mja mtu huwezi kuridhika kutoka moyoni,kugawana mapenzi. kitendo cha kumuoa mwanamke mwingine kwa uwazi na kukujulisha na pengine kumleta kwenye nyumba unayoishi w, tayari hapo mapenzi yamekwisha. hakuna dawa yoyote hapo zaidi ya kusepa.
  7. C

    nimechoka na huyu mume msaada

    mmmh, mdada polee, nimeona wachangiaji wengi hawaoni kama ukimya wake ni sababu. hiyo ni sababu tosha ya kukutia wasiwasi iwapo mwanzoni hakuwa hivyo, naww bado hujaweza kuizoea hiyo hali.lakini cha msingi ni kuendelea kuvumilia tu.au mi naona changamkia hao wanaokumendea ili utulize akili yako...
  8. C

    Ndugu zangu wa Kike Huwa najiuliza Eti Kwanini...?

    kiukweli kabisa haya mavazi hayakuwa utamaduni wetu! lakini sasa mambo yamebadilika ni kama tumebadili utamaduni.haya mavazi yamekuwa ndio fashion za kisasa na imeonekana yanavutia sana.ushauri wangu kwako, kama kutokana na imani yako unaona haya si maadili, usipende sana kuangalia, au...
  9. C

    Niko njiapanda Sijielewi Jamani

    shukuru umempata wingine ambaye anakupenda sana.kumpata anayekupenda ni msaada mkubwa katika kumsahau huyo aliyekutosa.kuna watu wanatoswa na hawapati watu wakuapnda kwa dhati kama ww? can u imagine? kinachokusumbua na kukuumiza ni kule kuachwa na mtu ambaye ulimpenda, kumthamini na...
  10. C

    Ushauri unahitajika tafadhali

    una tatizo,unaonekana unaamini kwamba mwanamke anayefanya huo mchezo hana thamani tena na hafai kuolewa, hata hao ulokuwa ukiwafanyia ulikuwa unaishia kutowathamini.ndiomana hat huyo sasa umemshusha thamani. Ushauri wngu, muoe huyohuyo lkn mkubaliane kuacha.7bu hata ukimuacha ukamuoa mwingine...
  11. C

    Natafuta kanisa la kiroho

    du!?makanisa yanatafutwa kama duka flan hiv
  12. C

    napenda wengi

    mchague haraka huyo mmoja, na uwajulishe kuwaacha hao wengine haraka,sababu kadiri unavyozidi kuwapotezea muda na ndivyo watakavyosononeka zaidi siku watakayojua.
  13. C

    Inanitisha nisaidieni!!!!!!!!!

    Ezan tulia kwanza mpaka utakapojiona uko tayari kuonana na kuongea nae,unaweza ukaenda haraka then sabbu ya kupanic na kumuogopa ukashindwa kuongea naye, naye anaweza asikwambie ukweli wote, kwa kuogopa reaction yako
Back
Top Bottom