Manyerere wewe huijui CUF acha hoja za kitoto aliyekwambia Lipumba hana Athari ni nani?Tumia akili ulizopewa kutafakari je ule umati uliokuwa pale Buguruni hauna athari?
Tuache ushabiki hoja hii ni nzito sana na ina ukweli ndani yake.vyama vya upinzani vinatakiwa kuweka wazi vina wanachama wangapi na mtandao ukoje kuanzia mashina,matawi,kata,jimbo,wilaya,mkoa na Taifa.Chadema haina mtandao wa kutosha Vijijini je itachukuaje dola?ni nani atalinda kura zisiibiwe ?
Tumpe kura Prof Lipumba aongoze Tanzania hana mpinzani.lowasa kashfa Richmond,Slaa kashfa kuchukua wake za watu,kuzini na Rose Kamili bila ndoa wakati ni Padri
Tusidanganyane kama kweli tunataka tupate Rais bora anayefaa ni Prof Lipumba ili ajenge Uchumi utakaotoa ajira na kuleta Neema kwa Watanzania wote.Tumpe kura Prof Lipumba aongoze Tanzania
Tunafanya makosa makubwa kuwalinganisha watu hawa,tukisema ukweli watu watachukia.hivi unaweza kumlinganisha Prof Lipumba na Dr Slaa? Ktk eneo lipi hasa? Kielimu lipumba yupo juu,uwezo wa kujenga hoja lipumba yupo juu; hatuwezi kufananisha mchanga na jiwe.lipumba ni jiwe walilolikataa waashi na...
kwa kweli Watu ni wengi mno na haijawai kutokea.Tusubiri je DR Silaa akirudi toka ITALY atapata watu wengi kama hawa? Tutake tusitake PROF LIPUMBA anakubalika mwaka 2015 itakuwa kazi kubwa sana.TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA PROF LIPUMBA UTUKOMBOE WATANZANIA 2015.
Tuchangie hoja kama waelewa wa mambo.ni nani asiyejua umuhimu wa Prof Lipumba ktk Taifa hili?Tuache hoja za kanisa,msikiti na ubaguzi wa kisiasa,kama Prof Lipumba ni Mtu muhimu kwa uchumi wa nchi yetu utakaotoa ajira na neema kwa wote tumtumie ili atusaidie.Tuache chuki,majungu na fatina ktk...
Tuache ubishi usiokuwa wa maana tunatakiwa kurejea historia ya vyama vya upinzani Tanzania.Baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 na hatimaye kufanyika kwa uchaguzi ulioshirikisha vyama vingi 1995 ni chama cha NCCR MAGEUZI kilichokua chama kikuu cha upinzani kwa kupata...
Tuache ushabiki wa kisiasa Prof Lipumba ni kichwa cha Uchumi Tanzania tunashindwa kumtumia. Umoja wa Mataifa wanamtumia Kuboresha Uchumi wa Nchi kubwa Duniani wakati Tanzania ni Maskini na Uchumi wetu ni Duni. Ipo haja ya kuweka mjadala wa Kitaifa kwa...
Kwani hujui alipo lipumba? Ni mwenyekiti kamati ya uchumi ya umoja wa mataifa yupo marekani anashughulikia uchumi wa dunia.tarehe 11/03/2012 atapokewa na paul kagame,odinga,mwai kibaki,museveni,jk kikwete na watanzania wote kwa ujumla kwa kuipa heshima afrika kuongoza maprofesa 20 wa kizungu...
Wewe mtoto mnyika kila mara nakuonya kukimbilia hoja ambazo zinagusa maisha ya watu.umefanya fitina za kumtoa tumbo hapo uenezi unashindwa kuleta fikra mpya unadandia hoja za watu.Damu za watanzania zinazomwagika tutazidai mikononi mwako kwa kuchochea mauaji ya watu wasio na hatia,kwanini chama...
Acheni kushabikia ubumbavu.tunatakiwa kuwa wazalendo kwa suala nyeti kama hili tuwasii madaktari kurudi kazini ili kuokoa maisha ya ndugu zeti.tuache ushabiki wa kisiasa unaliangamiza Taifa.
Acheni kujidanganya Chadema haiwezi kupata maelfu ya wanachama Zanzibar,Kwani hujui mtaji wa Chadema ni upi?ni Kanisa Katoliki ambao Zanzibar wapo asilimia 1 % ya Wanzanzibar wote.Mnatakiwa kufanya uchambuzi wa kina mnapoingia katika siasa sio ushabiki! ina maana hujui kuwa maeneo ambayo Chadema...
Huna lolote wewe kijana usiingize siasa ktk uhai wa watu,Serikali inashughulikia matatizo ya madaktari kwani ni mazito na yanahitaji upembuzi yakinifu.mbona mnajitia kimbelembele ktk mambo ya watu baada ya kuimarisha chama chenu kiwe cha Kitaifa kwa kupata wawakilishi Tanzania Zanzibar.jengeni...
Acha kujidanganya hakuna lolote walilofanya hao wahuni uliowasifu.wameshindwa kueneza chama chao kwa kutumia hoja huko vijijini na mijini,tumeshuhudia ktk chaguzi ndogo wakitumia pesa nyingi kununua wapiga kura kwa kuwapa madebe ya pombe,siwaonei haya hata kidogo ni mafisadi tu Mbowe na Silaa...
Chadema haiwezi kushinda Zanzibar kwani sio Chama cha Kitaifa,vyama vya kitaifa vinajulikana ni CUF na CCM kwani vina Wabunge na Wawakilishi pande zote mbili TZ BARA na TZ ZANZIBAR.kama msajili wa vyama vya Siasa angekuwa makini angeifuta CHADEMA kwani si chama cha Kitaifa.
Chadema sio chama cha Kitaifa hawawezi kushinda Zanzibar,Vyama vya kitaifa vinajulikana ni CCM NA CUF kwani vina Wabunge na Wawakilishi pande zote mbili TZ Zanzibar na TZ Bara.
Hongera JK kwa kuanza kuiua Chadema,walikuwa wameutangazia Umma kuwa hawakutambui sasa wanajipendekeza kwako kufuata chai ya ikulu.Nilijua tu wataingia ktk mtego wako wa kuwasambaratisha kwani uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.CCM ni Chama imara chenye mizizi TZ Bara na TZ Zanzibar lakini hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.