Jamani hivi serikali ya Tanzania inajua jinsi madreva wa kitanzania wanavyofungwa kwa kasi nchini Rwanda kwa makosa ya kubambikizwa ikiwemo makosa ya kubeba bangi inayopandikizwa na vyombo vya usalama vya Rwanda.
Maana kuna malalamiko kuwa hao madreva hubambikiwa hiyo mizigo pindi...
Huyu Kalemela ni mbabaishaji tu kwanza kilicho mrudisha CCM kaogopa kupewa PI na Uhamiaji kajanjaruka mapema maana nni Mnyarwanda mie namfahamu fika na kama anabishia nilichokiandika aje athibitishe uraia wake. Kaona huku atakuja kuumbuliwa bure karudi kwenye chaka ili afiche Unyarwanda wake...
namuunga mkono Mtikila asilimia 100 mf, cheki Idara za Serikali Police, magereza, Jwtz wakurugenzi kama aliyestaafu sengerema mwaka jana nenda SUA mwanza jiji, jamaa wa juzi aliyekuwa anatetewa na Mh, Kagasheki kule Bukoba Mh, Chagonja na na mkewe ambae kajipenyeza na na kuwaingiza jeshini...
mbona kuna wanajeshi bado ni wanachama wa vyama vya siasa mfano wa wazi ni Capt, John Komba bado ni mwanajeshi na mwanachama wa CCM maana hajastaafu jeshi mbona jeshi halijamtoa kazini au halijamtimua
sisi wakazi wa NGARA tunaawalika CHADEMA na M4C muweze kupiga kambi ya wiki moja ndani ya wilaya yetu na kata zake ili mchukue jimbo hili mwka 2015. Jimbo hili liko wazi kufuatia Mbunge wetu kushindwa hata kufika kuwaona wananchi wake ambao wanaendeea kutaabika huku wakiona mbunge wao...
jamani habari za kuaminaka kutoka Ngara zinasema kuwa askari polisi kitengo cha trafiki kamuua raia kwa risasi baada ya kumtwanga kichwani nao wakamshambulia kwa mapanga hadi kufa
Habari za kuaminika ni kuwa wakimbizi zaidi ni wanawake na vijana ambao wamekimbia makazi yao nchini Rwanda kufuatia WAUME zao kuchukuliwa au kuvamiwa na wanajeshi usiku wa manane kwa nguvu na kupelekwa kusiko julikana japokuwa wao wamesema kuwa wanapelekwa DRC kwenda kuongeza nguvu ktk kikundi...
hawa wanyarwanda bwana tatizo wako serikali ya kikwete na ndo maana operation zote zina feli ukiangalia ktk mfumo wetu ukianzia Ikulu kwenyewe kuna wananyarwanda na ndo wanawapa kiburi hawa jamaa haiwezekani watu wakauwa wananchi na serikali ipo kimya mashamba yamenunuliwa wakaweka fance na mkuu...
jamani sasa ageukie kwa yule mama mwathirika wa vipande vya Risasi ya mambomu ya mbagala ambaye mpaka leo hainuki kutoka kitandani hata yule mie ilinigusa sana jamani sijui hatima yake itakuwaje
nilishawahi Kupost hapa kuhusu Wanyarwanda waliojimilikisha Ardhi na kuanza ufugaji na wakati suala hilo ktk Itifaki ya EAC halipo. Pia uongozi wa juu wa Wilaya unajua fika kuwa nani anaemiliki Ardhi na kufuga lakini hakuna juhudi zozote za kuwaondoa zinazofanyika . Kitu kingine hawa wafugaji...
Wana JF kuna Mnyarwanda aitwae Safari Vianney tajiri wa mifugo aliyenunua mashamba Wilaya kijiji cha Lukole na kuweka uzio kuzuia mtu yeyote kuchungia maeneo hayo. Kutoka na agizo la wazri wa mambo ya ndani mwaka jana mh, Vuai kuwa haruhusiwi kuingia tena Tanzania lakini cha ajabu anazidi...
jamani naona tatizo siyo ukabila ila ni uzalendo kwa hawa viongozi wetu Hebu fikirieni wakati wa PM msuya, Mr mgonja, kwa ufupi waliyowafanyia wachaga wenzao msuya kapeleka Lami hadi marangu cheki Mgonja alivyoiboresha Rombo sie tulikuwa na majenerali wangapi tumewahi kuwa na PM sasa hivi tunao...
Napatwa na wasiwasi pale naibu wa spika anapomsaidia mwanasheria wa serikali kutoa ufafanuzi juu ya matusi yake dhidi ya tundu lisu hivi alichosema n/spika ndo alivyomaanisha =ag=kweli mie naona kama kamtusi live mh, tundu lisu wadau leteni mawazo tuchanganue
umekosea katika rate kijana exchange rate iko hivi 1Tsh,=0.39frw (rwandamoney) na siyo 1Tsh, =2.59 hiyo exchange rate ya leo kwahiyo bado umewaibia ukipigia ile rate yako kwahiyo rwandese bado wako juu pamoja na kwamba ni nchi isiyokuwa na vyanzo vingi vya mapato zaidi ya magri yanayoingia...
Majambazi yenye silaha usiku wa kuamkia leo yamefanikiwa kuwateka wavuvi na kuwanyang'anya mashine zipatazo 20 zenye thamani ya Tsh,896,000,000/= .Tukio hilo limetokea ktk visiwa vya Ukara na Ilugwa ambako kuna kanda maalumu ya POLISI. Hilo ni tukio la pili ndani ya mwaka mmoja, tukio lingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.