Next time andika wa tukio la kwanza mpaka la mwisho na responses za wapinzani.
Kujadili kuwa wapinzani wanapinga kila kitu pasi kutaja hivyo vitu ni kuondoa uhalali wa mada yako kujadilika.
Wengine tu wasomaji hapa,usitufanye kuandika kisichostahili. Kuna ulevi Fulani umeingia Mkuu...
Mkuu Kobello,
Kwanini sehemu Kubwa ya maandishi yako unamjadili Mchambuzi badala ya hoja zake?
Na uchambuzi ni kuonesha matatizo yaliyopo,vyanzo vya matatizo ama viashiria na pia kutafuta ufumbuzi wa matatizo hayo,kwako ni tofauti.
Mimi ni msomaji mzuri na nawafuatilia kila hatua. You're...
Nionacho ni kuwa PM anamtengenezea Mazingira Mkuu,but ni kama PM ndo kakomalia ila mwenyewe hashtuki.
Siasa ni kuviziana,naona hawako kwenye timing bado.
Inaonekana WanaCCM wanajua alipo Ben,wao ndo wamekuwa WA Kwanza kujua kuwa katoweka na hapa naona dalili za kumrejesha.
Lakini WA Kwanza Ni WanaCCM,Sasa wameanza kupima upepo!
Muda haudanganyi!!!
Ikiwa hajahusika Kwa namna yoyote sawa.
Je,ikiwa pembe zilizopelekwa Kwa Waziri Mkuu usiku wa manane ambapo naye alikuwepo,ikithibitika sio za faru John Bali za Faru Hadija asihushwe Kwa kumdanganya Boss wake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.