Search results

  1. idawa

    Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu

    Badala yeye kuwapa Tabasamu Watanzania imegeuka Watanzania wampe yeye tabasamu.
  2. idawa

    Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Yeye aliandaliwa kuwa msaidizi sio kiongozi wa familia
  3. idawa

    Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

    Jomba kwa hiyo unadhani Nyuklia imehifadhiwa kwa ajili ya kupiga nazo picha sio...hizo ni silaha za kimkakati, za kujihami na kumtisha adui.. Jiulize kwa nini USA aliamua kutumia nyuklia dhidi ya Japan.
  4. idawa

    Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar

    Zanzibar ni nchi halafu ya kiisilamu sio?
  5. idawa

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Mama Samia anasifiwa kwa mazuri tu, mambo yakikwama sio yeye.
  6. idawa

    Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

    Juzi Putin alisema kwa upande wa propaganda hakuna anaeweza kuwafikia Marekani, maana vyombo vyote vya habari vikubwa ulimwenguni wanamiliki wao... Ila kiuhalisia China na Urusi wanampita kwa Mengi sana Marekani...ila sababu tunasubiri CNN na BBC ndio waseme tutasubiri sana.
  7. idawa

    Kusema kweli Magufuli alikuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Nchi ingekuwa mbali sana kimiundombinu ila wananchi tungepigika vibaya sana..
  8. idawa

    Tuweke ushabiki pembeni, kuna kitu cha kujifunza kutoka Hamas

    Urusi ameshindwa vita na Ukraine, kwa vigezo gani?
  9. idawa

    CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?

    Pasco wewe ni kati ya watu wachache wenye kujua mambo ya nchi kiundani na kuyaandika. Japo uwasilishaji wako unakuwa kama wa kubahatisha, ila mara nyingi hufanana kwa kiasi kikubwa matokeo ya baadae. Wengi wetu tunakuja kukuelewa wakati tayari mambo yapo hadharani.
  10. idawa

    Freeman Mbowe ndiye Mwanasiasa aliyejadiliwa zaidi kwenye Eneo la Maziwa Makuu 2023 , Umaarufu wake waongezeka mara dufu

    Lazima ajadiliwe kwa usanii wake wa kupokea fedha za CCM kwa mlango wa nyuma. Lazima ajadiliwe sababu yeye ndio alieitengeneza COV19, akina Mdee walikuwa na baraka zote za Mbowe pale bungeni. Lazima ajadiliwe sababu yeye ndio mwenyekiti asie na Ukomo, na harusiwi mtu yoyote kugombea ile nafasi.
  11. idawa

    Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

    Mbowe ni msanii wa siasa za Chedema jamaa anapiga mpunga tu, ndio maana ni ngumu sana kuachia hichi kiti cha Uenyekiti.
  12. idawa

    FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    Na ukitoboa hizo game ni rahisi kutinga fainali.
  13. idawa

    Kituo cha Polisi Wilaya ya Butiama chajengwa kwa Tsh. Milioni 802, kukamilika Desemba 2023

    Labda na nyumba za polisi kama tano hivi.
  14. idawa

    Utata wa Kisheria Waibuka Rais Samia Akimrudisha Mwenyekiti Aliyemuondoa TCRA

    Hivi majukumu ya hizo bodi ni yepi ukilinganisha na watendaji wa taasisi husika...yaani wana nguvu kiasi gani kubadili ama kushauri taasisi husika...
  15. idawa

    Serikali yaingia makubaliano kufuta deni la bilion 170 la Mbeya Cement

    Yaani serikali ina asilimia ndogo ya umiliki, lakini ndio mdhamini wa hao wenye asilimia kubwa. Yaani kwenye faida serikali inagawiwa kwa asilimia, ila kwenye hasara serikali inabeba kwa asilimia zote.
  16. idawa

    Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

    Halafu kumbuka Makonda majukumu yake yake yako kwenye katiba YA CCM..hata kama ataingilia majukumu ya Katibu Mkuu CCM bado ni maswala yao ya ndani.
  17. idawa

    CCM imesahau kuwateua Makatibu wenezi CCM mikoa nchi nzima, Makonda utafanya kazi na akina nani?

    Vipi nawe ni miongoni mwa wanaomendea hiyo nafasi.
Back
Top Bottom