Search results

  1. H

    Kikwete ahimiza vijana wa Mitandaoni wa CCM wakumbukwe na Rais Magufuli

    By the way, hao vijana wana elimu gani?
  2. H

    Afrika Kutishia Kujitoa Umoja wa Mataifa ni Utoto wa Kisiasa

    Na njaa zote walizo nazo watakuwa na mbavu za kujitoa UN?
  3. H

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Tanzania ni nchi pekee duniani isiyo na wizara ya elimu.
  4. H

    Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

    Ndivyo ramli ilivyokuambia?
  5. H

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Huyu Job Ndugai anadhani amewekwa hapo ili kupambana na wapinzani? Huyu ni wa hovyo, nafuu hata Makinda!
  6. H

    Tanzania tunacheza na Maendeleo, mpaka sasa tunapanga utawala

    Kwa mtindo huu watanzania waendelee kuhesabu maumivu ya ufukara!
  7. H

    Paris Restaurant Shootings and Blasts: at least 100 People have been killed

    Nadhani hii thread yako ndo upumbavu wenyewe!! Kwa hiyo ulitaka watu wakae kimya bila kuulaani huo ushetani?
  8. H

    Nawaza tu: Magufuli kuundiwa zengwe?

    Hata Kikwete alianza na speed hiyo hiyo lakini kumbe lilikuwa ni changa la macho tu. Bila kuwashughulikia wezi wa Escrow sidhani kama Maguguli atakuwa na jipya! Ni mbwembwe tu ya nguvu za soda.
  9. H

    Dkt. Kikwete na Mkewe, Waondoka rasmi Ikulu na Kuelekea Msoga

    Nimeipenda sana hii!!!! Huu ni ukweli mtupu!
  10. H

    Serikali yakanusha taarifa za Kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa

    Imekuwa ni kawaida kwa serikali kukanusha kila taarifa hata kama ni za kweli.
  11. H

    The Catholic Church: The biggest Financial power on Earth

    Nani kakudanganya? No research, no right to speak!
  12. H

    Hofu ya Zanzibar na hatma ya Tanzania

    CCM wasipoangalia vurugu zikianza tu Zanzibar zinaweza kusambaa hadi bara!
  13. H

    Hofu ya Zanzibar na hatma ya Tanzania

    CCM mpeni haki yake Seif Sharif Hamadi.
  14. H

    The Catholic Church: The biggest Financial power on Earth

    Majina mengi hapa JF ni fake.
  15. H

    Ushauri kwa Maalim Seifu na CUF Zanzibari kuweni makini sana!

    Wewe siyo mwana CCM kweli? Naona umetumwa kupima upeo eh!
  16. H

    The Catholic Church: The biggest Financial power on Earth

    Duh!!! Kumbe utajiri wa kanisa katoliki unazidi hata ule wa serikali Marekani?!!!
  17. H

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Sasa si nyie magamba mmeshinda uchaguzi? Hebu tekelezeni kwanza sera zenu kwanza baadala ya kuhangaika na upinzani.
  18. H

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Unajitekenya na kucheka mwenyewe eh!? Upuuzi mtupu!!
  19. H

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Wanaomboleza miaka mitano mingine ya dhiki na ulaghai wa CCM.
Back
Top Bottom