Search results

  1. S

    TBC aibu tupu kwa taifa

    Siku ambayo watanzania wenyewe, sisi ambao kila kukicha tunalalamika thru threads hizi na zile tukiwaonyesha kwa vitendo hao wapuuzi kwamba tumechoka, coz in the first place sisi ndio watanzania wenyewe na tukisema kwa VITENDO vazi hatulitaki nina imani wataelewa, i just think muda wa kulalamika...
  2. S

    Kwenu wote mnaoutaka urais Tanzania 2015......

    ''Hatuna matatizo na matajiri kadhalika na utajiri wao lakini hatutakubali matajiri watumie utajiri wao kuvuruga utendaji kazi wa serikali yetu" - JK NYERERE 1995 Nawatakia kila la kheri................
  3. S

    Tazama hii hati ya Muungano kwa makini kisha toa jibu

    "Mawazo ya UDINI na UKABILA tuliyakemea na watu walianza kutuelewa sasa yakianza bila kusimamiwa hasa katika VINCHI vyetu hivi vichanga watu watarudi kulekule..." JK NYERERE on Muungano 1995
  4. S

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Romantic read this........."Nipo hapa kuwafahamisha kwamba Afrika tunajitegemea Kifikra, anaedhani kwamba kuna watu wanaofikiri kwa niaba yetu huyo amekosea na hatutendei haki kabisa" JK Nyerere Toronto 1969 ...........Kama mzalendo kweli basi kamwonyeshe mumeo hii halafu mwambie atukome na hao...
  5. S

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Angetangaza binafsi kama yeye Lazaro kuwa anataka kugombea poa kabisa lakini kutufanya sie wajinga eti Wamarekani wanataka yeye agombee ina maana sie ni wapumbavu kiasi kwamba pple from a thousand miles away know what is best for us sie hatujui?? Haya ni matusi kwetu sie wenye uwezo wa kupiga...
  6. S

    Nape vs Lowassa

    Nina mashaka na uelewa wako sijui nani anakusaidia kuamka asubuhi, make sure its a right person manake pumba ulizoongea hapo hatari tupu Godwin ur a disgrace to human race.....a MAN for that matter!!!!
  7. S

    Nape vs Lowassa

    Kwanza kabisa Bwana Godwin watu kama nyie ndio tunawaita wasaliti na kama ingekua enzi za hayati baba wa Taifa ni wazi tunajua kabisa adhabu yako ingekua nini! Unathubutu vipi kutamka unayotamka eti anaelekea kushindwa? Wewe na hao mafisadi wanaotunyonya kaa shisha ya mikocheni ndio mnaelekea...
  8. S

    Tumechoka na habari za Lowassa!

    Shine kuna watu humu wanatafuta laana za vizazi vijavyo na vilivyopo hivi sasa because katika miaka mitano ijayo PESA haitakua kila kitu manake wasomi watakua wa kumwaga na huo upuuzi ndio utakua TASK yao ya kwanza , Bob Marley mwenyewe aliwahi kusema U CAN FOOL SOME PPLE SOME TIME BUT U CAN'T...
  9. S

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Watu wengine wanaumwa vichwa!!! Hivi hiyo USA ndio wanapiga kura kumpata rais au hao USA ndio wananchi wa hapa Tanzania woooote! Mbona hawa viongozi wetu watanzania wanamambo ya ajabu sana hivi hizi dharau wanazotufanyia wanategemea nini hasa??!! This is more than too much yaaani ni kwamba...
Back
Top Bottom