Search results

  1. M

    Hebu Tubadilishe Maisha ya Watanzania

    Biashara yenyewe ni kujiunga na mtandao kwa kutumia mwenyewe na kuwambia wenzako nao kuhusu matumizi ya hizo bidhaa.... Biadhaa za kusaudia afya na kuufanya mwili uwe na kinga za kiasili ambazo hatuwezi kuzipata siku hizi katika milo yetu ya kila siku.
  2. M

    Hebu Tubadilishe Maisha ya Watanzania

    Wakati wa kulia na kudai eti hakuna ajira Tanzania, inafika mwisho sasa. Vijana kwa wazee wale wote wanaotaka kuondokana na hali ngumu ya maisha inayopanda kila siku, wanatakiwa kutambua kuwa mabadiliko ya kweli yapo mikononi mwao wakiamua. Kuna biashara nyingi zinazoweza kuwatoa katika...
  3. M

    Zitto amsifu Ngeleja amshauri ahame CCM

    Mh, yamekuwa hayo tena Hon.Kabwe? Ni haki yako lakini usji ukala matapishi yako tena, hatutakuelewa!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

    Aaaaaaaaaaaaa basi, Kila tugeuka Kagoda, lakini eti haijulikani ipo wapi, ya nani nk. Tunaliwa jamani
  5. M

    This is it!.. I'm @!#% Fed up.. atapokeaje tuzo kwa niaba yangu?

    Tunataka ajibu, kiburi akamfanyie super model wa old moshi. Siyo watanzania wa leo.. Tunataka aje atuambie ili tuelewe ukweli asijifanye mbabe kabisaaa
  6. M

    Toa maoni yako

    Hilo ni chnga la macho waheshimiwa. Kaka JK kwa namna moja ama nyingine ni hao hao. Kauli zake pia zinamfanya watu waamini kuwa wanakula wote, waache hiyo zugaring yao.... yumo ndani ya kapu moja ila anachungulia kwa mbali hatumuoni...
  7. M

    Maoni kuhusu Biashara E-Africa

    aksante sana, uniongoze vema nisije nikapotoka!!
  8. M

    Pigo Kubwa Kwa Upinzani. Kabuye Ang'olewa Ubunge.

    Oh basi kweli wameamua kuuwa upinzani jamani. Jopo la wanasheria msaidieni huyu mzee aliyeweza kuingia bungeni bila hata punje ya rushwa. Na kama ni kumzalilisha mtu inahusiana vipi na ubunge?
  9. M

    Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

    Kama huyo EL anaonekana kuonewa si aende kwa pilato ili ukweli uonekane au ujulikane. I am sure hata yeye analo hilo gazeti ofisini kwake. We need to know the reality now ule wakati wa kuabudu watu eti tu wao ni vigogo umepitwa na wakati kabisaaa
  10. M

    Maoni kuhusu Biashara E-Africa

    Migodi ipo bora tu ufiche mikataba. Ukitaka pia wekeza kwenye utalii, ni biashara nzuri na inalipa tu. Mimi binafsi nadili nayo unaweza tembelea hapa www.tanancientroutes.net
Back
Top Bottom